Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Noma mzee, Dortmund katoka na laki tano yangu fasta nilibeti live over 1.5, oyah hawa madogo hawako serious na kazi
sikupangii cha kufanya na pesa zako ila usitumie pesa nyingi kumla muhindi, tumia pesa kidogo kumla muhindi. mimi mara ya mwisho kuweka dau kubwa nililiwa 1m kwa odd ya 1.80 mechi mbili na zote zilichana tena mapema tu
 
Japo kanji kadondosha matreni ila ulinzi wa pesa ni muhimu ..nilirudisha pesa ninayo chezea mikeka iliyo chanika..uto kakosa hata bao moja
 

Attachments

  • Screenshot_20261025-011509_SportyBet.jpg
    Screenshot_20261025-011509_SportyBet.jpg
    135.5 KB · Views: 7
sikupangii cha kufanya na pesa zako ila usitumie pesa nyingi kumla muhindi, tumia pesa kidogo kumla muhindi. mimi mara ya mwisho kuweka dau kubwa nililiwa 1m kwa odd ya 1.80 mechi mbili na zote zilichana tena mapema tu
Probability ya kumpiga kanji endapo utatumia dau kubwa kwa timu 1 au 2 ni kubwa sana kuliko kumpiga parefu kwa dau dogo kama mtacheza mara nyingi mfano zaidi ya mara 100. Endapo utafanya ubashiri kwa muda mrefu unakaa upande wa kupoteza zaidi.

Timu 1 ina asilimia 50 kutoa ukiongeza ya pili probability inashuka inakuwa asilimia 25 ukiongeza ya 3 inashuka zaidi mpaka asilimia 12.5, ndio maana kanji kadri unavyojaza timu anakupa motisha maana anajua upo ktk mtego wa mchawi mmoja kukuchania.
 
Back
Top Bottom