wewe ni kasheliWewe ni kandezi
wewe ni kasheliWewe ni kandezi
We fala tia pesa . Au utaki kula vitumbua vya hapo nje ya msikiti
6KBPXG
Hiyo leo hiyooooo😆😆😆 one big chance missed ohhh hiyo leooo hiyo pagumuuu mkuuMkuu hii Aston villa ilianza ligi vibaya.
Hilo andiko la timotheo linawahusu wanaotafuta mali kwa kuua kama majambazi wanaotafuta mali freemason wanaotafuta mali kwa ulaghai yani njia yoyote unayotafuta pesa sio kihalali hilo andiko ndiyo linakataza upo hapo,ila ubashiri ni game of chance anapatia ndiyo mshindiAngalia, Isaya 65:11 , Pia
1 Timotheo 6:9-10, inayonya kuhusu tamaa ya kutajirika na kupenda fedha.
Pia Waebrania 13:5 inasema tusipende fedha, na 1 Wakorintho 10:23 inatufundisha kwamba si kila kitu kinachowezekana kinafaa.
Angalia, Isaya 65:11 , Pia
1 Timotheo 6:9-10, inayonya kuhusu tamaa ya kutajirika na kupenda fedha.
Pia Waebrania 13:5 inasema tusipende fedha, na 1 Wakorintho 10:23 inatufundisha kwamba si kila kitu kinachowezekana kinafaa.
Yawezekana akapoteza moja kwa moja then arsenal ashinde mzani uwe sawaDirect win ya man city iko mashakani...
Jua uzama kwenye tope zitowewe ndiye wale waliokwisha kupigwa mihuri . Utakufa kwenye beti kama yule aliyegongwa na jisalaba kanisani.
Jua uzama kwenye tope zito
Muda bado home anaweza rudisha na akapata draw dah mpira hautabirikiView attachment 3697532
wale wa no penalty hii ni ya tatu
Naona Jackson ni moto wakuoteq mbaliMuda bado home anaweza rudisha na akapata draw dah mpira hautabiriki
🤪🤪🤪 pamowaka moto kakaNaona Jackson ni moto wakuoteq mbali