Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Huyo suzuki kapagawa
naongelea option ya penalty, 1H tu zilipatikana penalty 3.!!Muda bado home anaweza rudisha na akapata draw dah mpira hautabiriki
okey hii game wengi imetusuprisenaongelea option ya penalty, 1H tu zilipatikana penalty 3.!!
Alafu mtu anakwambia man city na yanga weka mke na watotoYanga kama Yanga 😳
ni hatari aisee hawa man city hata sare tu imewashindaAlafu mtu anakwambia man city na yanga weka mke na watoto
Ndio betting ilivyo mkuuAlafu mtu anakwambia man city na yanga weka mke na watoto
Kamari ni mchezo hatarini hatari aisee hawa man city hata sare tu imewashinda
Weka mke na watoto, weka nyumba daah, Mimi nawazoom tuuhKamari ni mchezo hatari
Hahahaa wafuate;Alafu mtu anakwambia man city na yanga weka mke na watoto
Weka mke wako na watoto tu mi wakwangu nina kazi naoHahahaa wafuate;
Nashville (USA/MLS) to win @1.52
AS Saint-Etienne (France/Ligue 2) to win @1.73
Weka hata nyumba JombaaWeka mke wako na watoto tu mi wakwangu nina kazi nao
Wale ni wapumbavu, KAZI ya kujazia odds ndio inakuwaga hivyo, alafu unaanza kujutiaKuna waliomfata bodoe humu ndani
Wamezingua mno alafu odd ndogo mno
ni mchezo hatari lakni kunawatu wana win sijui huwa wanatumia AIKamari ni mchezo hatari
Hakuna cha AI kipindi cha nyuma nilikua nawin sana ila nilikua nikiweka game moja au mbili tu katika slip yangu ila sasa nilipoanza kuweka multi bet nyingi ndo kasheshe lilipo anziani mchezo hatari lakni kunawatu wana win sijui huwa wanatumia AI