Wape GG maana Aston Villa sio mdogo na sio mnyonge na bado ana advantage ya kuwa nyumbani usithubutu kumpa man city direct winWazee huyu man city nimpe ashinde mazima
sawa mdauMsipuuze huu nimesahau mechi ya uto..ongezeni kisha wekeni away 1UP
5MR0Q7
Halotel inakubali betpawa tho kwa hiyo option ya 10minuts draw haipoKampuni Gani nyingine inakubali 0 10 minutes draw tofauti na sportbet.
Nina namba ya halotel tu sportbet hawakubali
Anaongoza huko N. Jackson kafunga dakika ya 6Wape GG maana Aston Villa sio mdogo na sio mnyonge na bado ana advantage ya kuwa nyumbani usithubutu kumpa man city direct win
Mkuu hii Aston villa ilianza ligi vibaya.Aston villa tayari huko kamoja😆😆😆 GG is coming city hatakubali lazima itie kambani
Yani mkuu aston villa yupo kwenye fomu vibaya mno City leo jasho litamtoka mechi itakua ina magoli hiiAnaongoza huko N. Jackson kafunga dakika ya 6
Game ya magoli hii mkuu yatafurika kama el nino ,Aston anarudisha heshima yake sasaMkuu hii Aston villa ilianza ligi vibaya.
Tusaidie mstari upi wa biblie umekazia ulichokazia