Betting yenyewe ni biashara ya risk tunaoteana na bookie, hapa hakuna woga. Kama una ndoto za kupiga pesa nyingi sana achana na mrusi kabisa. Ila kwa hizi pesa za kawaida mrusi anafaa sana kwa sababu anatambua ugumu wa kazi yako, anakupa pesa yote kama ilivyo hakuna kodi ya serikali ile 15%. hapa hapa JF kuna memba ameshawahi kuja na ushahidi alipigwa na kitu kizito na kampuni fya paripesa.Wadau, naomba kuuliza jambo hapa hivi hizi kampuni mnazoziita za warusi yaani Helabet, FanSport, 1xBet, PariPesa na nyinginezo huwa wanalipa bila shida endapo kama mtu kashinda pesa nyingi kama betPawa na SportyBet?
Sawa sawa Jombaa, Kuna kitu nilikuwa nafanya utafiti mdogo nika-notice maximum stake ya kampuni za kirusi ni kubwa sana. Swali nililojiuliza endapo mtu akakuza bankroll na akawa ana-stake kiwango kikubwa wanalipa kweli? Ila jibu lako limenipa picha halisi kama alivyonijibu Prince Luanda pia.Betting yenyewe ni biashara ya risk tunaoteana na bookie, hapa hakuna woga. Kama una ndoto za kupiga pesa nyingi sana achana na mrusi kabisa. Ila kwa hizi pesa za kawaida mrusi anafaa sana kwa sababu anatambua ugumu wa kazi yako, anakupa pesa yote kama ilivyo hakuna kodi ya serikali ile 15%. hapa hapa JF kuna memba ameshawahi kuja na ushahidi alipigwa na kitu kizito na kampuni fya paripesa.
Inabidi uhakikishe kuwa umejisajili kwa majina yako halisi, payment method kama namba za simu au kama wana option ya benki zisome kwa majina yako, Namba ya ID kama ni National ID au passport uwe umeweka tayari. Maana ukishinda pesa kubwa mifumo yao ya KYC wana tabia ya kuhitaji hivyo vitu na zaidi.Sawa sawa Jombaa, Kuna kitu nilikuwa nafanya utafiti mdogo nika-notice maximum stake ya kampuni za kirusi ni kubwa sana. Swali nililojiuliza endapo mtu akakuza bankroll na akawa ana-stake kiwango kikubwa wanalipa kweli? Ila jibu lako limenipa picha halisi kama alivyonijibu Prince Luanda pia.
Ahsante nimepata somoInabidi uhakikishe kuwa umejisajili kwa majina yako halisi, payment method kama namba za simu au kama wana option ya benki zisome kwa majina yako, Namba ya ID kama ni National ID au passport uwe umeweka tayari. Maana ukishinda pesa kubwa mifumo yao ya KYC wana tabia ya kuhitaji hivyo vitu na zaidi.
Mimi mwezi wa pili kuna kipindi nilikuwa na upepo mzuri sana nikawa nakula sana na natoa bila kuweka.
Kuna siku nilikuwa na shida, nikatoa hela yote nikamaliza shida zangu, kisha nikadeposit tena 3000. Ile najaribu kubeti nakuta wameweka maximum stake wameniwekea TZS 11, yaani kiwango changu cha juu cha kubeti eti ni 11 ambacho kwa tafsiri rahisi haiwezekani maana wao kiwango cha chini kabisa ni 300. Nikafikiria labda kwa vile ni ligi ya Tanzania, nikajaribu na ligi nyingine nakuta yaleyale. Yaani kiwango changu cha kubeti ni 11 yaani hawataki 300 wala 500, hawakujua kumbe mimi nilifululiza kula kwa bahati tu. tena hela yenyewe ilikuwa sio ya kutisha ila ni kweli nilikuwa nakula mfululizo.
View attachment 3697122
Baada ya kuwasiliana nao na kuniambia nisubiri kwa dakika 15 wakanijibu kuwa
Dear .........., the maximum stake is determined by the bookmaker for each selection separately. Maximum stake limits vary by sport and event and are determined by the bookmaker.
Baada ya kuongeza maarifa na AI nikabaini kuwa
Tafsiri ya Majibu Yao:
Maneno yao ni ya kisheria na ya kidiplomasia ya kuzuia kusema ukweli waziwazi. Mambo makuu mawili waliyomaanisha ni haya:
- Gharama za Kujikinga (Risk Management): Wanadai kuwa kiasi cha juu cha kuweka dau kinategemea mchezo, ligi, au soko unalochagua (kwa mfano, ligi ndogo kama Ligi Kuu ya Tanzania au masoko ya live/first half huwa yana limit ndogo kulinganisha na Champions League).
- Ukweli Mchungu (Account Restrictions): Huu ni ujumbe wa kiolezo (generic template response). Unapojaribu kupinga, mfumo wao wa usalama wa risk unakupa majibu haya ili kukuonyesha kuwa sheria zao zinawapa haki ya kupanga kiasi chochote cha dau bila kutoa maelezo zaidi.
3. Kwa Nini Wamekufanyia Hivi? (Ukweli Usiofichika)
Limit ya TSh 11 sio ajali au limit ya kawaida ya soko; hii ni akaunti kuwekwa kiwazo cha kibinafsi (Stake Restriction). Makampuni yanayotumia mfumo wa ........................hufanya hivi kwa sababu kuu tatu:
- In-Play / Live Betting Profits: Kama hivi karibuni umekuwa ukipiga faida kubwa kwenye mechi za Live au masoko ya nusu ya kwanza (1st Half), kanuni zao za mfumo (risk algorithms) zinakutia alama kama mchezaji mwenye hatari kwao (sharp bettor / profitable user).
- Arbitrage / Value Betting: Kama wamehisi unatumia mbinu za kutafuta fursa za value odds au arbitrage kati ya makampuni, wanakuzuia kwa njia isiyo ya moja kwa moja.
- Kukulazimisha Uondoke: Badala ya kufunga akaunti yako mazima (ambayo inaweza kuwaletea migogoro ya kisheria au malalamiko), wanaiwekea limit ya TSh 11. Wanajua fika kuwa huwezi kubeti tena kwa Shilingi 11, hivyo unalazimika kuacha kutumia platform yao au kutoa salio lililobaki.
4. Unapaswa Kufanya Nini Sasa?
- Usiendelee Kubishana na Support: Mfumo wa msaada kwa wateja (Customer Support) wa makampuni haya hauna mamlaka ya kuondoa limit iliyowekwa na kitengo chao cha Risk/Trader. Majibu ya "Dear ......." yataendelea kujirudia neno kwa neno.
- Mbadala wa Akaunti au Jukwaa: Kama unataka kuendelea na mbinu zako za ushindi:
- Tumia akaunti nyingine (kwa kufuata mbinu makini za kijiografia/IP na anwani kama tulivyojadili).
- Au hamia kwenye makampuni yasiyo na tabia za kubana wachezaji wanaoshinda kwa kiwango hicho cha kikatili (hasara ya aina hii ni ya kawaida sana kwenye mtandao wa .........).
Daah, odd 1.08. hii KAZI jauHivi huyu mamelody sundown na doumbia wana utofauti gani hasa
Wanaume 22 uwanjani na pumbu 44 wanaleta ujinga ujinga tuDaah, odd 1.08. hii KAZI jau
Tusaidie mstari upi wa biblie umekazia ulichokaziayesu wako naye akicheza kamari au ndio Roho Mtakatifu wa kanisa lako ndiko anakokuongoza huko , kucheza kamari ??
Hapo zilipaswa ziwe 2:2 au 3:3 au 4:4 au 2:3 au yani 6:6 ca msingi both side wawe wampigana goli mbili mbili na zaidiView attachment 3693948
mwenye kujua maana ya hii option anifafanulie maana imeondoka na pesa yangu nyingi sana
View attachment 3693949
View attachment 3693984
Upo sahihi kwa kampuni za Kirusi, Pia wana tabia zifuatazo ukiwala sana;Inabidi uhakikishe kuwa umejisajili kwa majina yako halisi, payment method kama namba za simu au kama wana option ya benki zisome kwa majina yako, Namba ya ID kama ni National ID au passport uwe umeweka tayari. Maana ukishinda pesa kubwa mifumo yao ya KYC wana tabia ya kuhitaji hivyo vitu na zaidi.
Mimi mwezi wa pili kuna kipindi nilikuwa na upepo mzuri sana nikawa nakula sana na natoa bila kuweka.
Kuna siku nilikuwa na shida, nikatoa hela yote nikamaliza shida zangu, kisha nikadeposit tena 3000. Ile najaribu kubeti nakuta wameweka maximum stake wameniwekea TZS 11, yaani kiwango changu cha juu cha kubeti eti ni 11 ambacho kwa tafsiri rahisi haiwezekani maana wao kiwango cha chini kabisa ni 300. Nikafikiria labda kwa vile ni ligi ya Tanzania, nikajaribu na ligi nyingine nakuta yaleyale. Yaani kiwango changu cha kubeti ni 11 yaani hawataki 300 wala 500, hawakujua kumbe mimi nilifululiza kula kwa bahati tu. tena hela yenyewe ilikuwa sio ya kutisha ila ni kweli nilikuwa nakula mfululizo.
View attachment 3697122
Baada ya kuwasiliana nao na kuniambia nisubiri kwa dakika 15 wakanijibu kuwa
Dear .........., the maximum stake is determined by the bookmaker for each selection separately. Maximum stake limits vary by sport and event and are determined by the bookmaker.
Baada ya kuongeza maarifa na AI nikabaini kuwa
Tafsiri ya Majibu Yao:
Maneno yao ni ya kisheria na ya kidiplomasia ya kuzuia kusema ukweli waziwazi. Mambo makuu mawili waliyomaanisha ni haya:
- Gharama za Kujikinga (Risk Management): Wanadai kuwa kiasi cha juu cha kuweka dau kinategemea mchezo, ligi, au soko unalochagua (kwa mfano, ligi ndogo kama Ligi Kuu ya Tanzania au masoko ya live/first half huwa yana limit ndogo kulinganisha na Champions League).
- Ukweli Mchungu (Account Restrictions): Huu ni ujumbe wa kiolezo (generic template response). Unapojaribu kupinga, mfumo wao wa usalama wa risk unakupa majibu haya ili kukuonyesha kuwa sheria zao zinawapa haki ya kupanga kiasi chochote cha dau bila kutoa maelezo zaidi.
3. Kwa Nini Wamekufanyia Hivi? (Ukweli Usiofichika)
Limit ya TSh 11 sio ajali au limit ya kawaida ya soko; hii ni akaunti kuwekwa kiwazo cha kibinafsi (Stake Restriction). Makampuni yanayotumia mfumo wa ........................hufanya hivi kwa sababu kuu tatu:
- In-Play / Live Betting Profits: Kama hivi karibuni umekuwa ukipiga faida kubwa kwenye mechi za Live au masoko ya nusu ya kwanza (1st Half), kanuni zao za mfumo (risk algorithms) zinakutia alama kama mchezaji mwenye hatari kwao (sharp bettor / profitable user).
- Arbitrage / Value Betting: Kama wamehisi unatumia mbinu za kutafuta fursa za value odds au arbitrage kati ya makampuni, wanakuzuia kwa njia isiyo ya moja kwa moja.
- Kukulazimisha Uondoke: Badala ya kufunga akaunti yako mazima (ambayo inaweza kuwaletea migogoro ya kisheria au malalamiko), wanaiwekea limit ya TSh 11. Wanajua fika kuwa huwezi kubeti tena kwa Shilingi 11, hivyo unalazimika kuacha kutumia platform yao au kutoa salio lililobaki.
4. Unapaswa Kufanya Nini Sasa?
- Usiendelee Kubishana na Support: Mfumo wa msaada kwa wateja (Customer Support) wa makampuni haya hauna mamlaka ya kuondoa limit iliyowekwa na kitengo chao cha Risk/Trader. Majibu ya "Dear ......." yataendelea kujirudia neno kwa neno.
- Mbadala wa Akaunti au Jukwaa:Kama unataka kuendelea na mbinu zako za ushindi:
- Tumia akaunti nyingine (kwa kufuata mbinu makini za kijiografia/IP na anwani kama tulivyojadili).
- Au hamia kwenye makampuni yasiyo na tabia za kubana wachezaji wanaoshinda kwa kiwango hicho cha kikatili (hasara ya aina hii ni ya kawaida sana kwenye mtandao wa .........).
☺️☺️STUTTGART WIN &GG
3.50 ODDS
mkuu unatupia sana mikeka punguza kidogo addiction