Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

michafu na yenye uongo kwa ushahidi wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa):

ΩˆΩŽΨ§Ω„Ω‘ΩŽΨ°ΩΩŠΩ†ΩŽ Ω„ΩŽΨ§ ΩŠΩŽΨ΄Ω’Ω‡ΩŽΨ―ΩΩˆΩ†ΩŽ Ψ§Ω„Ψ²Ω‘ΩΩˆΨ±ΩŽ وَΨ₯ِذَا Ω…ΩŽΨ±Ω‘ΩΩˆΨ§ Ψ¨ΩΨ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΨΊΩ’ΩˆΩ Ω…ΩŽΨ±Ω‘ΩΩˆΨ§ ΩƒΩΨ±ΩŽΨ§Ω…Ω‹Ψ§ ο΄ΏΩ§Ω’ο΄Ύ

Na wale ambao hawashuhudii uongo, na wanapopita kwenye upuuzi hupita kwa heshima. [Al-Furqaan: 72].

Vikao vya kamari vinakusanya uongo, dhulma, wasiwasi na hakuna chochote ndani yake ambacho kina faida ya kidini. Hivyo vitendo vyao ni vya uongo, na kuvishuhudia kunamaanisha kuvifanya.
 
Mpaka upigwe unaona haya
πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ mhindi anahitaji upendo na uvumilivu
 
michafu na yenye uongo kwa ushahidi wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa):

ΩˆΩŽΨ§Ω„Ω‘ΩŽΨ°ΩΩŠΩ†ΩŽ Ω„ΩŽΨ§ ΩŠΩŽΨ΄Ω’Ω‡ΩŽΨ―ΩΩˆΩ†ΩŽ Ψ§Ω„Ψ²Ω‘ΩΩˆΨ±ΩŽ وَΨ₯ِذَا Ω…ΩŽΨ±Ω‘ΩΩˆΨ§ Ψ¨ΩΨ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΨΊΩ’ΩˆΩ Ω…ΩŽΨ±Ω‘ΩΩˆΨ§ ΩƒΩΨ±ΩŽΨ§Ω…Ω‹Ψ§ ο΄ΏΩ§Ω’ο΄Ύ

Na wale ambao hawashuhudii uongo, na wanapopita kwenye upuuzi hupita kwa heshima. [Al-Furqaan: 72].

Vikao vya kamari vinakusanya uongo, dhulma, wasiwasi na hakuna chochote ndani yake ambacho kina faida ya kidini. Hivyo vitendo vyao ni vya uongo, na kuvishuhudia kunamaanisha kuvifanya.
Shehe muhindi anatuchapa kweli humu yani ni huzuni tu.
 
10 ODDS

BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Hongera sana mkuu me mtu akiboom odds mlima kama hizi namnyooshea mikono πŸ™ŒπŸ™Œ kama mbili tu zinanitoa kamasi 🀣🀣
 
WEKA.MZIGO
ZRIJNSKI OV 1.5
GRANADA OV 1.5
TSC OV 1.5
RRADNICK1923OV 1.5
Alanyaspor ov 1.5
Gateshead ov 1.5

Weka mke na watotoo nikokwa wakala
 
Congrats πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘BoooooooooomπŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ
 
Attachments

  • 1792750129535.jpg
    1792750129535.jpg
    51.7 KB · Views: 4
BooooooΓ²oooooomπŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Attachments

  • Screenshot_20261023_131059_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20261023_131059_WhatsApp.jpg
    32.9 KB · Views: 7
michafu na yenye uongo kwa ushahidi wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa):

ΩˆΩŽΨ§Ω„Ω‘ΩŽΨ°ΩΩŠΩ†ΩŽ Ω„ΩŽΨ§ ΩŠΩŽΨ΄Ω’Ω‡ΩŽΨ―ΩΩˆΩ†ΩŽ Ψ§Ω„Ψ²Ω‘ΩΩˆΨ±ΩŽ وَΨ₯ِذَا Ω…ΩŽΨ±Ω‘ΩΩˆΨ§ Ψ¨ΩΨ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΨΊΩ’ΩˆΩ Ω…ΩŽΨ±Ω‘ΩΩˆΨ§ ΩƒΩΨ±ΩŽΨ§Ω…Ω‹Ψ§ ο΄ΏΩ§Ω’ο΄Ύ

Na wale ambao hawashuhudii uongo, na wanapopita kwenye upuuzi hupita kwa heshima. [Al-Furqaan: 72].

Vikao vya kamari vinakusanya uongo, dhulma, wasiwasi na hakuna chochote ndani yake ambacho kina faida ya kidini. Hivyo vitendo vyao ni vya uongo, na kuvishuhudia kunamaanisha kuvifanya.
Karibu sheikh ngoja nikutafutie odds 3 utie hio hela ya zaka ya ijumaa
 
1.70
1.60
Bolton o2.5
Pastor ov 2.5
Hela ya bure niko kwa wakala wapendwa
 
Back
Top Bottom