Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuondoke na hiii wekeend
 
Attachments

  • Screenshot_20261023_102424_Keka App.jpg
    Screenshot_20261023_102424_Keka App.jpg
    56 KB · Views: 4
U
Hapo kwenye confirm ndo wanazingua wanataka nithibitishe kama Nina miaka 18 wakati nishaweka tiki.View attachment 3696711
Unaona hivyo vidoti vitatu ...at least 8 characters ✅, at least one number tick , hiyo ya kati haina kijani ndio Ina changamoto password Yako katika eneo hilo hujachanganya herufi Kubwa na ndogo ..umetumia ndogo tupu na namba au Kubwa tupu na namba.
 
Wadau, naomba kuuliza jambo hapa hivi hizi kampuni mnazoziita za warusi yaani Helabet, FanSport, 1xBet, PariPesa na nyinginezo huwa wanalipa bila shida endapo kama mtu kashinda pesa nyingi kama betPawa na SportyBet?
 
Kwa uhakika wa malipo mrusi tumia helabet ila kwenye ushindi wako kodi ni 15% hayo mengine hayana kodi na ikitokea hujalipwa usije kumlaumu mtu.
 
Kwa uhakika wa malipo mrusi tumia helabet ila kwenye ushindi wako kodi ni 15% hayo mengine hayana kodi na ikitokea hujalipwa usije kumlaumu mtu.
Ahsante, kwa tafsiri nyepesi mengi hayana leseni ya kufanya kazi Tanzania? Pia, kwa uzoefu wako kampuni gani hazina tatizo kwa mtu anaye-stake dau kubwa.
 
Back
Top Bottom