Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
mkuu unatupia sana mikeka punguza kidogo addiction
Kula mwengine huo. 7 na nusu mpaka 3 asubuhi...! 👊🏾
mkuu unatupia sana mikeka punguza kidogo addiction
Kiswahili kimekupica chenga? Hivi hukuona hapo kuwa hilo ni swali? Au unajitia hamnazo tu kukwepa swali?Tusaidie mstari upi wa biblie umekazia ulichokazia
Wewe ni kandeziKiswahili kimekupica chenga? Hivi hukuona hapo kuwa hilo ni swali? Au unajitia hamnazo tu kukwepa swali?
Swali kwa nini Serikali zimeruhusu makampuni ya bet ndiyo yawe yanatunga sheria watakazo wao ...kwa nini serikali isiweke misingi ya kisheria inayo dhibiti hayo makampuni kufanya ushenzi ...MAKAMPUNI YA KAMARI NI MAGENGE YA KIHALIFU YANAONGA VIONGOZI WA NCHI NDIYO SABABU YAPO JUU YA HAKIUpo sahihi kwa kampuni za Kirusi, Pia wana tabia zifuatazo ukiwala sana;
1) wanapunguza odds mfano game ya odds 1.5 wewe unawekewa 1.2, Au wanaondoa options wanazoona unakula sana. Mfano unapenda u.5.5 wao wanaishia u.4.5
2) wanapunguza kiwango cha withdrawal...mfano wana limit 100k kwa saa 24. Ukiwa na m23 wanajua utabet zaidi wakule.
3) Kufungiwa acc...hapa utapewa sababu za kutosha mara security sijui nini. Na pa kuwapeleka huna na utalalamika hawatajibu.
Haukua peke yako mkuuJana msauzi kanikosesha mil moja
We fala tia pesa . Au utaki kula vitumbua vya hapo nje ya msikitiKiswahili kimekupica chenga? Hivi hukuona hapo kuwa hilo ni swali? Au unajitia hamnazo tu kukwepa swali?