Nilishawahi kucheza kwa risk sana ila game nilikua naweka moja kwa siku nilikua nachqmbua nipate odds 1.30 kwa siku nikiwa na stake 1 mln nipate faida ya 250k per day nilifanikiwa kwa siku mbili tu nikakusanya nusu ya mtaji siku inayofata nilicheza game ya live nakumbuka ilikua game ya bayern na stattgut nikaweka bayern asiongeze goli ikiwa ni dakika ya 90 nikastake 1 mln nikasubiri hizo dakika mbili tu zilitosha muhindi aliondoka na pesa yote maana ile nimestake tu bayern anapata pernat na kufunga
Betting ukiwa na mtaji mkubwa tu achana na multibet