Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #4,501
Mkuu Unanichinjia baharini heheh
naona hull city tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Unanichinjia baharini heheh
naona hull city tayari
Acha nitafute usingizi! Hii business sometimes ungese* mtupu
Jamaa kapiga 23,383. Dah kuna watu wana bahati
Jamaa kapiga 23,383. Dah kuna watu wana bahati
sory huo mkeka n wa hardcpy au sftcpy na ni kampun gan?
Mkuu kuna softcopy inayoshikwa mkononi?...hiyo bet ya UK si unaona currency ni £.
du huyo kauaga umasikini, kwa hela ya kibongo ni kama M ngapi?
Jmn naomba msaada wa kucheza online meridian pc yangu imezingua. Natumia huawei y 530.
Jmn naomba msaada wa kucheza online meridian pc yangu imezingua. Natumia huawei y 530.
Ila kwa opera min inazingua
Nataka kuwa timu za hela
Reading
Liverpool
Borussia dortmund
Bayer leverkusen
Juventus
Atletico madrid
Benifica