Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe haka kamchezo ka no penalty/no red card ni kazuri eee..?

Ngoja niwe nakaingiza katika option zangu kianzia sasa
 

Attachments

  • 1410987558143.jpg
    27.5 KB · Views: 145
  • 1410987578016.jpg
    25.4 KB · Views: 113
Wadau nielekezeni na mm haka kamchezo ka no penalty no red card unaenda wap
 
Wadau nielekezeni na mm haka kamchezo ka no penalty no red card unaenda wap

unafungua options katika gem....utaikuta chini chini, ila utasubir mpaka weekends maana ipo kwenye LaLiga, EPL,SeriaA na Bundesliga na Champions League
 
Nipo kama nimemwagiwa maji leo,
 

Attachments

  • 1411020105882.jpg
    50 KB · Views: 114
mbona ilikuwepo, huwa ipo mechi zikikaribia (LaLiga, EPL na Seria A, Champions League...Europa sijaangalia bado.....lakini ni online tu nadhan...cheki UEFA leo kwa mfano

Mkuu naomba namba zako za simu ili nikupigie unielekeze namna ya kubet kwenye hizo options maana nimeshindwa kubet kwenye simu.
 
wakuu on your risk...

22:00 P A O K - Dinamo Mn. win , l 1 l odd 1.65 - EUROPA ................% to win thi bet 70%

22:00 Legia Warsaw-Lokeren, win ,l 1 l odd 1.70 - EUROPA ...................% to win this bet 85%

22:00 P S V - Estoril win. l 1 l odd 1.62 - EUROPA .................................% to win this bet 85%

17:00 Esteghlal Khuzestan - Tractor Sazi , lose l 2 l odd 1.77 - IRAN PERSIAN CUP......... % to win this bet 70%

22:00 Dnipro - Inter Milan , lose, l 2 l, odd 2.35 - EUROPA .....................% to win this bet 60%

22:00 Sevilla vs Fyernood , win , l 1 l odd 1.45 - Europa ...........................% to win this bet 80%

17:00 Sepahan-Saba Qom win , l 1 l odd 1.52 - IRAN PERSIAN CUP ..........% to win this bet 70%


Total Odds 41
Total Stake 5000
return 205,000/=

mki-win msinisahau ......
 

Aya kaka...ngoja tukatengeneze mambo
 
Haya haya hayaaaaa....
Lille
inter
totenham
dinamo zagreb
everton........... Point 26......
 
Mi nahisi mechi za leo kutakuwa na sare nyingi naogopa kubet leo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…