Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hata nyumba evaton anashinda
mkuu wajerumani wagumu , anaweza toa droo ya magoli. 1-1, 2-2,
japo naona kashapata goal dk ya 15 tu
wale wa star times tbc 2 wanaonyesha hii match
Fuuuu*cck, lile kanikosesha mpunga aisee.
View attachment 186284
View attachment 186285
Ila sio mbaya, kanjibai ataruka weeee, ila ipo siku ataingia kwenye 18 zangu.
Daaaaahh pole sana mkuu
Hahaahahaaahahaa.!
Pamoja mkuu, tupo tunashare majonzi na furaha. Sio kila siku tunapost mikeka ya kupiga pesa tuu (iloingia nyavuni). Hata ile ilogonga mwamba inapaswa kuoneshwa kwa wadau pia ikiwa ni kama ushuhuda kuwa huyu kanjibai anafungika/pasuliwa na yeye kama ukituliza kichwa.
mkeka wangu wa europ wote umetiki.....
niliweka timu mapema humu, anaglia hapo juu
leo siku nzuri kwangu
Halafu nilikuwa sifahamu, kumbe mkeka wa boli unaweza changanya na Rugby, NFL, Basket, na michezo yoooote kwa meridianbet.?
du! Nilikua sijui
if you dont take RISKs, you will always work for someone who does.