Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wadau ngoja nitest kuwapa everton,metalist pamoja na dynamo kiev nione kama itakubali.
 
mkuu wajerumani wagumu , anaweza toa droo ya magoli. 1-1, 2-2,

japo naona kashapata goal dk ya 15 tu

wale wa star times tbc 2 wanaonyesha hii match

naichek game ni ngum, lakini unyumbani unawabeba the toffees
 
Fuuuu*cck, lile kanikosesha mpunga aisee.







Ila sio mbaya, kanjibai ataruka weeee, ila ipo siku ataingia kwenye 18 zangu.
 
Daaaaahh pole sana mkuu

Hahaahahaaahahaa.!
Pamoja mkuu, tupo tunashare majonzi na furaha. Sio kila siku tunapost mikeka ya kupiga pesa tuu (iloingia nyavuni). Hata ile ilogonga mwamba inapaswa kuoneshwa kwa wadau pia ikiwa ni kama ushuhuda kuwa huyu kanjibai anafungika/pasuliwa na yeye kama ukituliza kichwa.
 

hahah kweli, mi nawasubiria wakorintho (corinthias) wa brazil tu nikamilishe sherehe
 
mkeka wangu wa europ wote umetiki.....

niliweka timu mapema humu, anaglia hapo juu


leo siku nzuri kwangu
 
mkeka wangu wa europ wote umetiki.....

niliweka timu mapema humu, anaglia hapo juu


leo siku nzuri kwangu

Hongera mkuu, niliuona ila nilijifanya kuchepuka kidogo, matokeo yake lile kachana.

Hakuna mbaya maani nisharudisha pesa yooote katika OU za basket, na sasa natafuta faida katika mechi inayochezwa sasa ya basket.
 
Halafu nilikuwa sifahamu, kumbe mkeka wa boli unaweza changanya na Rugby, NFL, Basket, na michezo yoooote kwa meridianbet.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…