Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah utakuwa unatumia vibaya kodi ya meza
Una maanisha nini Mkuu....?
 
Dah, Hii meridian ya hapa shopers nimeipenda. Yaani watu wanakuja na mapamphlet ya fixture kabisa na rough paper na kukakaa kuanalyse match. Kila mtu namuona na pamphlet la fiixture, Haahahaaaaaah..! hawa jamaa kweli wako serious. This is just bussines like any other bussines.
 
Wadau,pesa za bure hapa mpe
madrd..... win,
byn munich..... win 0wdr brmn vs shark04 GG.
odd,jumla 1.9 weka hata 1M.
Ila mi sina pesa ya kuweka!.kila la kheri
 
Wadau,pesa za bure hapa mpe
madrd..... win,
byn munich.....win
0wdr brmn vs shark04 GG.
odd,jumla 1.9 weka hata 1M.
Ila mi sina pesa ya kuweka!.kila la kheri
 
Mi namuua arsenal leo lakini half time result
Midlesbrough win
Norwich win
Sunderland win

Halftime result natia 20,000/=


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wadau,pesa za bure hapa mpe
madrd..... win,
byn munich.....win
0wdr brmn vs shark04 GG.
odd,jumla 1.9 weka hata 1M.
Ila mi sina pesa ya kuweka!.kila la kheri

madrid odd ya 1.08 , bayern odd 1.18 unawaweka ya nini? waje wakuchanie bure
 
Nimetia buku 10..inaweza kuja 236000
 

Attachments

  • 1411475406745.jpg
    74.8 KB · Views: 139
Wadau ivi,kujiregist na Meridian ni mpaka Pc au....? Afu ukipitia Google wanaleta Meridianbet.com badala ya Meridianbet.Co.Tz au splling co zenyewe
 
Weka nyumba,mke,watoto,na serikali! Timu hizi lazima zinipe hela! Trapan,thun,ac milan na hoffein! Hapo natia 10000/=
hapo tuonane kesho wazee!
 
Wadau ivi,kujiregist na Meridian ni mpaka Pc au....? Afu ukipitia Google wanaleta Meridianbet.com badala ya Meridianbet.Co.Tz au splling co zenyewe
ndio iyo iyo...address inajibadilisha automatically
 
ac milani anauza mechi huku, yani kashapigwa 2-0 na empoli, timu iliyopanda daraja dk 21
 
Everton na bayern wamenimalizia mikeka yangu miwili
bayern kashinda 4-0 , ulimuua?
everton kapigwa 3-o, yani kashindwa kupata hata goli moja! kaninyima gg, what is happening to everton?!!!

hizi timu mbili swansea na southmpton zitasumbua sana msimu huu!
 
Bayern nlimpa cap sluu... na everton nlimpa mpaka half time sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…