Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu 13 ambazo ni nyingi sana na kwa kawaida ni ngumu kushinda labda uwe na mzizi sababu muhindi ni mgumu kuliwa
Nimechukua likizo isiyo na malipo. Leo mechi za basket zipo nyingi sana. Inatakiwa unaitarget moja, then unatia mzigo wa maana.
Ila too bad kwa sisi wa Online. Maana siku mbili hizi network chenga sana, nimeshindwa kuingia mzigoni sababu ya network. Week end nilihisi labda congestion, ila mpaka weekdays asubuhi, hapana inaonekana Mzungu kafanya analysis kagundua wanaocheza online wanamfilisi. Maana online ni rahisi kushinda.
So wadau wenzangu wa online hebu niambieni, na ninyi linawakumba hili la issue ya network kuwa slow kwa siku hizi sa katibuni.? Au ni kwangu tuu.? Maana leo nimeshindwa tandika mikeka sababu ni hiyo. Na leo kuna pesa njenje katika mechi za basketball kwa kucheza online.
Mkeka was kibishi unaweza ukatoa huu
Huyu mzungu ni ----- sana yani siku za kula hela huwa anauminya mtandao kwenye website yake mfano ni siku za weekend ama siku kama leo,
Cheki kama hapo chini screenshot ya sasa, network yangu inasoma H+ lakini kipage chao kinazingua kufunguka.
Nimelambwa mtaji!!!
Sna hamu!
Cheki kama hapo chini screenshot ya sasa, network yangu inasoma H+ lakini kipage chao kinazingua kufunguka.
BOOOOOOOOOOOOOOM.....................mtaji wa game za weekend tayaribaada ya red card market kunigomea kwa bets ka tatu ivi in a raw..najipumzisha kwenye hiyo option mpaka wikiend.....leo natupia First 10 minutes ni DRAW....nimeweka $20 nipate $38 :help:
View attachment 187960
BOOOOOOOOOOOOOOM.....................mtaji wa game za weekend tayari
nipe maujanja hayo yanapatkana meridian?