Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wenzangu, muwe mnacheza Basketball Live in play, ukiwa mjanja ukosi 50,000 kwa siku.
Fanya hivi.......usiweke mkeka mpaka mechi ifike quarter ya pili 2/4 then chukua matokeo ya timu zote mbili jumlisha na kisha toa the amount of total then dived by 2 utajua uweke kwenye over/under....

Mfano
currently points is Over 160 and its 2/4( second quarter)
Real Madrid..... 45
Barcelona........ 40

therefore the total points is 85 (45+40)

then chukua 160-85= 75

75 means the total points zilizobaki kufika 160, then chukua 75 gawa kwa 2 (75/2)=37.5 hii inamaana kama vipindi viwili vya mwanzo waliweza kufungana points 45 kwa 40 basi its possible vipindi viwili vya mwisho pia wanaweza fungana zaidi ya 37.5 points, ivyo weka Over 160 odd sio chini ya 1.80. mie kila siku nakula 50,000 nalala.... am trying to share some tricks. (other factors remains constant )

Sawa mkuu..napitaga kwenye basket ila sio mara nying ngoja nijaribu na huku nione.
 
aaah baada ya mhindi wa mbet kunifilisi mda mrefu mpaka nkakata tamaa ,leo nimpiga yeye .nilikuwa na kamkeka kadogo tu marseille win, espanyol draw na vallencia draw nimemchana laki 750, nilitupia 50.nimerudisha ela yangu.nilichojifunza hutakiwa kukata tamaa lakini wazo linalokujia mwanzon wakati unabet ndio sahih
 
Wazee wenzangu, muwe mnacheza Basketball Live in play, ukiwa mjanja ukosi 50,000 kwa siku.
Fanya hivi.......usiweke mkeka mpaka mechi ifike quarter ya pili 2/4 then chukua matokeo ya timu zote mbili jumlisha na kisha toa the amount of total then dived by 2 utajua uweke kwenye over/under....

Mfano
currently points is Over 160 and its 2/4( second quarter)
Real Madrid..... 45
Barcelona........ 40

therefore the total points is 85 (45+40)

then chukua 160-85= 75

75 means the total points zilizobaki kufika 160, then chukua 75 gawa kwa 2 (75/2)=37.5 hii inamaana kama vipindi viwili vya mwanzo waliweza kufungana points 45 kwa 40 basi its possible vipindi viwili vya mwisho pia wanaweza fungana zaidi ya 37.5 points, ivyo weka Over 160 odd sio chini ya 1.80. mie kila siku nakula 50,000 nalala.... am trying to share some tricks. (other factors remains constant )

Aisee Basket imenipiga sana, sio predictable hivyo mkuu. Utashangaa ukibet under watu wanavuka, ukiover watu hawafiki, tena kuna nyingi sana nimechemsha kwa difference ya point moja tu.

Flashscore.com wanaonyesha dakika kwa baadhi ya games, kwa hiyo kama mechi iko kwenye live betting na unaona dakika ziavyoenda unaweza kubahatisha kiurahisi.

Mi nasubiri NBA ianze nianze kuchana hela, make ESPN wanakuwa wanaonyesha dkk zinavyokenda huku we unabet.
 
mkuu nadhani itakuwa unakosea timing ya kuweka stake. Mara nyingi inatakiwa kama una nia ya kuweka stake ya under, inatakiwa uweke quater ya kwanza. hapa inatakiwa uangalie na ligi na timu zenyewe za kuweka under. Timui kama bayern, madrid, barcelona, NBA, Philipines, Spain inatakiwa kuwe na uspecial pekee wa kuweka under. Mara nyingi mechi zake huwa over. Ila ukishaona ligi haieleweki au ni friendly, hizo ndio huwa zinakuwa under mara nyingi. Mimi nampasua sana kwenye hii category. ukiona mechi huielewielewi, subiri mpaka mwanzo wa quaater ya nne ndio uweke stake. kwani hapo utakuwa ushapata flow ya mechina mara nyingi quater ya nne inakuwaga na point nyingi kama ni mashindano. Kumbuka exemption kwa mechi za wanawake na watoto mwanzo hufungana magoli mengi kuliko quater ya mwisho.

So live ya basket ni just matter of fact na timing ya mechi. Sema uslow wa network ya meridian wiki hizi mbili umekuwa ukinikosesha pesa
 
Sure man, network pia ni tatizo, by the time unafanya decision odds zinachange fasta halafu unaingia chaka. Mimi nasubiria NBA, maana hizi friendly zimenishinda aisee!

Hizi hela nazoliwa mwanzoni nazichukulia kama tuition fee, nikishakaa vizuri Meridian atanifungia account yangu, maana nataka nimpasue pasue mpaka anikatae!
 
Wazee wenzangu, muwe mnacheza Basketball Live in play, ukiwa mjanja ukosi 50,000 kwa siku.
Fanya hivi.......usiweke mkeka mpaka mechi ifike quarter ya pili 2/4 then chukua matokeo ya timu zote mbili jumlisha na kisha toa the amount of total then dived by 2 utajua uweke kwenye over/under....

Mfano
currently points is Over 160 and its 2/4( second quarter)
Real Madrid..... 45
Barcelona........ 40

therefore the total points is 85 (45+40)

then chukua 160-85= 75

75 means the total points zilizobaki kufika 160, then chukua 75 gawa kwa 2 (75/2)=37.5 hii inamaana kama vipindi viwili vya mwanzo waliweza kufungana points 45 kwa 40 basi its possible vipindi viwili vya mwisho pia wanaweza fungana zaidi ya 37.5 points, ivyo weka Over 160 odd sio chini ya 1.80. mie kila siku nakula 50,000 nalala.... am trying to share some tricks. (other factors remains constant )

Huu mfano dizai km sijauelewa?! Kwan huko kwenye basket kuna real madrid na bacelona ??
 
mkuu nadhani itakuwa unakosea timing ya kuweka stake. Mara nyingi inatakiwa kama una nia ya kuweka stake ya under, inatakiwa uweke quater ya kwanza. hapa inatakiwa uangalie na ligi na timu zenyewe za kuweka under. Timui kama bayern, madrid, barcelona, NBA, Philipines, Spain inatakiwa kuwe na uspecial pekee wa kuweka under. Mara nyingi mechi zake huwa over. Ila ukishaona ligi haieleweki au ni friendly, hizo ndio huwa zinakuwa under mara nyingi. Mimi nampasua sana kwenye hii category. ukiona mechi huielewielewi, subiri mpaka mwanzo wa quaater ya nne ndio uweke stake. kwani hapo utakuwa ushapata flow ya mechina mara nyingi quater ya nne inakuwaga na point nyingi kama ni mashindano. Kumbuka exemption kwa mechi za wanawake na watoto mwanzo hufungana magoli mengi kuliko quater ya mwisho.

So live ya basket ni just matter of fact na timing ya mechi. Sema uslow wa network ya meridian wiki hizi mbili umekuwa ukinikosesha pesa
mkuu jana baada ya kusoma comment yako nikajaribu..nilikuta game mbili za basketball...moja ilikua 3/4 point zao zilikua chache 37 kwa 59 nikachagua under 139..na game nyingine ilikua 4/4 nikajichagulia tu matokeo yatakua even...zoye nimepatia niliweka buku 5 tano nimepiga buku tisa tisa...
 
Wazee wenzangu, muwe mnacheza Basketball Live in play, ukiwa mjanja ukosi 50,000 kwa siku.
Fanya hivi.......usiweke mkeka mpaka mechi ifike quarter ya pili 2/4 then chukua matokeo ya timu zote mbili jumlisha na kisha toa the amount of total then dived by 2 utajua uweke kwenye over/under....

Mfano
currently points is Over 160 and its 2/4( second quarter)
Real Madrid..... 45
Barcelona........ 40

therefore the total points is 85 (45+40)

then chukua 160-85= 75

75 means the total points zilizobaki kufika 160, then chukua 75 gawa kwa 2 (75/2)=37.5 hii inamaana kama vipindi viwili vya mwanzo waliweza kufungana points 45 kwa 40 basi its possible vipindi viwili vya mwisho pia wanaweza fungana zaidi ya 37.5 points, ivyo weka Over 160 odd sio chini ya 1.80. mie kila siku nakula 50,000 nalala.... am trying to share some tricks. (other factors remains constant )

hahahah mambo ya cateris puribus
 
mkuu nadhani itakuwa unakosea timing ya kuweka stake. Mara nyingi inatakiwa kama una nia ya kuweka stake ya under, inatakiwa uweke quater ya kwanza. hapa inatakiwa uangalie na ligi na timu zenyewe za kuweka under. Timui kama bayern, madrid, barcelona, NBA, Philipines, Spain inatakiwa kuwe na uspecial pekee wa kuweka under. Mara nyingi mechi zake huwa over. Ila ukishaona ligi haieleweki au ni friendly, hizo ndio huwa zinakuwa under mara nyingi. Mimi nampasua sana kwenye hii category. ukiona mechi huielewielewi, subiri mpaka mwanzo wa quaater ya nne ndio uweke stake. kwani hapo utakuwa ushapata flow ya mechina mara nyingi quater ya nne inakuwaga na point nyingi kama ni mashindano. Kumbuka exemption kwa mechi za wanawake na watoto mwanzo hufungana magoli mengi kuliko quater ya mwisho.

So live ya basket ni just matter of fact na timing ya mechi. Sema uslow wa network ya meridian wiki hizi mbili umekuwa ukinikosesha pesa

nikweli mkuu, Basket ukiwa mjanja unapiga pesa sana, tatizo la meridian ni network tu
 
Mi ntamjarib basket leo kama ztakuwepo....red card manchester united kaninyima laki....yan hii timu majanga kawaida watuchanie...na red card pia😡
 
pole sana huyu rooney na john terry ni wazee wenzetu wa kuweka mzigo si ajabu alibet redcad siku hiyo
 
sikutegemea na mimi nitafika level hizi......mikeka yangu 13 ya mwisho, nimeharibu miwili tu!! Business continues baadae.........
 
Attachments

  • 5567646u4.png
    5567646u4.png
    12.2 KB · Views: 129
Back
Top Bottom