Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

braza ...sio meridian tu....bet365 wamempa 9.6 kabisa...... ndio ivyo yani.....wamecheza mechi 23 ...kati ya hizo ASTANA kashinda 8 aktobe kshinda 9...sare 6... astana hajawahi kushinda away mechi 17 tangu 2010..... alizoshinda zote mechi 5 kati ya 17 kashindia home kwake..... aktobe nae kati ya hizo 17 kashinda 6... kati ya hizo 3 kashinda kwake 3 kashinda kwa astana..... mechi 6...wametoa sare ...kwa aktobe zimetoka sare 5 kwa astana 1..... yaaani USHINDI WA ASTANA AKIWA AWAY DHIDI YA AKTOBE NI SARE..... TANGU 2010....
 

nina hisia leo anashinda...daaah kampunga kangu
 
barca leo 3+ nina wasiwasi
barca GG
chelsea win
porto GG
mancity win
 

babu hizi highlights unazitoaga website gani?
 
Hadi dakika hii ninajiuliza huu ujasiri wa kuziamini timu za uingereza katika UEFA nimeutoa wapi. Sio kawaida yangu kabisa sijawahi kuamini timu za uingereza hata siku moja
 
umetoa hint nzuri , kweli porto leo atakuwa ana hali ngumu
Bilbao sio wazoefu wa uefa mkeka wangu chelsea na man city ndo ameuharibu Iila mechi ya porto na bilbao hiyo nilijua porto atashinda tu. Ilikuwa ni mechi muhimu sana kwao. Ukiongezea na uzoefu wako vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…