Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mancity n Chelsea wangeseeeeeeee si bet tena Kula siku timu moja moja zinaniharbia aaaaaaaah
gemu ya man city ilikuwa ngumu, haikuwa ya kugusa, yeyote angefungwa matumaini yangefutika kwa asilimia 70 na city amefungwa matumaini yamepotea kabisaa

chelsea ameshuka kiwango siku hiz anashinda but kwa taabu sana, game 2 za mwisho ameshinda kwa own goal against shwerbury na kwa penati against qpr, i bet siku za karibuni chelsea atapigwa tu, tena na timu ndoogo wala usiyodhania
 
kikosi cha city kimechoka, nahis kinaihitaji kusukwa upya, aguero kashuka kiwango, yaya toure naye kashuka kiwango, na wengine weeengi sio city hii ya miaka mitatu nyuma, na labda manager mpya aje la sivyo atasumbuliwa hata watoto wadogo pale lgi kuu england.
 
Napinga hata a milion times kuwa chelsea WAMESHUKA KIWANGO,Kwa game ya chelsea v maribor na tayari anaongoza kundi with 7pts &after 2:30hrs anacheza na liv away lzm Angepumzsha baadhi ya key players na STILL MOURINHO NI MUOGA SN WA KUFUNGWA,ENZI ZA Sir A.ferguson angewapumzisha km sio wote 11 basi 8 au 9.!Nilisense mapungufu ya man cty kwenye game ya arsenal(ngao ya jamii),Arsenal alikuwa anawa brick kadri wanavyotaka HAWAKO SAFI SN WANATEGEMEA SN INDIVIDUAL SKILLS ZA YAYA,JESUS N,SILVA(MAJERUHI)&AGUERO!KUMTUMIA FERNANDO BADALA YA FERNANDINHO KUNAIGHARIMU CITY SN.CSKA MOSCOW SIO TIMU YA KUSIMAMA NA HATA LIVERPOOL.
Itimisho ni man city HAWAWEZI UCL,WAMENILISHA JUMLA YA 21000 IN UCL TENA KTK GAME 2 TU ZA CSKA(HOME&AWAY) NA WAMENIPA around 40,000 in EPL.
 
Leo jamani niko hapa
Besktas
Everton
Steua
DKyv
Villa
C Brugge
Torino
Totterham
Sevilla
Rijeka
Napoli

Nachokukubali mkuu ni kwamba pamoja na disappointing results wewe huchokagi kuweka pesa.. Ila kweli mkuu mechi zote hizo zitoke win??
 
Wakuu katika kutafakari simple trick ya kupiga pesa nimeona kuna hizi trick nzuri sana za kupiga pesa. Kuwin ni over 90%. Nazo ni hizi.

1. Kucheza option za magoli. Hii inakuwa nzuri kwa bet365 kwani wao wana option nyingi sana. Na option zenyewe ninazozizungumzia ni match nzima iwe na 1+ ama 2+. 1+ ama 2+ kupatikana katika soka ni kitu cha kawaida sana na most ya matokeo katika soka huishia kwa timu mojawapo kufungwa. Ingawaje hizi option zina odds ndogo zinazorange 1.05 to 1.1 kwa 1+ halikadhalika 1.18 to 1.3 kwa 2+ kutegemeana na match. Hivyo ukichagua say kucheza 1+ match nzima na kuweka timu 10 unaweza pata total odds 2 na kudouble pesa yako. Na ukichagua kuweka 2+ kwa timu 5 pekee waweza jikuta na odds za 5. Kwa njia hii ili ule pesa ya maana inabidi uweke pesa nyingi ambayo itaonekana ukiila. Say laki kuendelea, hii option ya 1+ naona ni best kwani inahitaji shallow analysis ya match kabla ya kuweka mzigo.

2. Kuchanganya timu za michezo mbalimbali. Kwani unaweza changanya mkeka wa basket, hockey, snooker, tenis, volleyball, soka n.k unahitajika kuwa versatile ili upige pesa. Mchezo kama basket mshindi huwa determined kabisa so nao ukiweka timu za kueleweka say timu kumi hukosi total odds ya 3+. Ukiweka mzigo wa kueleweka means pesa inakuwa tripled.

Kauli mbiu yetu ni
"Betting means bussines"
 
Hao rijeka nawaelewa mpaka basi na walivyo wapambanaji na walivyonipa pesa hata siku wakifungwa au wakitoka sare WALA SIWALAUMU.!!
 
Totenham
torino
everton
besiktas
sevilla
.....namuwaza monglach ...napoli ...wolfsburg na legia
 
Nachokukubali mkuu ni kwamba pamoja na disappointing results wewe huchokagi kuweka pesa.. Ila kweli mkuu mechi zote hizo zitoke win??

Ndio mkuuu leo nayo ni siku ya hela. Maana nisipowin leo inabidi tena niingie hasara ya kuweka mtaji. Thanks kwa bet365 kila weeek wananipa bonus
 
Ndio mkuuu leo nayo ni siku ya hela. Maana nisipowin leo inabidi tena niingie hasara ya kuweka mtaji. Thanks kwa bet365 kila weeek wananipa bonus

Mkuu bonus za kila wiki unaclaim vipi toka kwa bet365.? Halafu umeiona trick ya pesa niliyoiweka hapo juu.?
 
Wakuu katika kutafakari simple trick ya kupiga pesa nimeona kuna hizi trick nzuri sana za kupiga pesa. Kuwin ni over 90%. Nazo ni hizi.

1. Kucheza option za magoli. Hii inakuwa nzuri kwa bet365 kwani wao wana option nyingi sana. Na option zenyewe ninazozizungumzia ni match nzima iwe na 1+ ama 2+. 1+ ama 2+ kupatikana katika soka ni kitu cha kawaida sana na most ya matokeo katika soka huishia kwa timu mojawapo kufungwa. Ingawaje hizi option zina odds ndogo zinazorange 1.05 to 1.1 kwa 1+ halikadhalika 1.18 to 1.3 kwa 2+ kutegemeana na match. Hivyo ukichagua say kucheza 1+ match nzima na kuweka timu 10 unaweza pata total odds 2 na kudouble pesa yako. Na ukichagua kuweka 2+ kwa timu 5 pekee waweza jikuta na odds za 5. Kwa njia hii ili ule pesa ya maana inabidi uweke pesa nyingi ambayo itaonekana ukiila. Say laki kuendelea, hii option ya 1+ naona ni best kwani inahitaji shallow analysis ya match kabla ya kuweka mzigo.

2. Kuchanganya timu za michezo mbalimbali. Kwani unaweza changanya mkeka wa basket, hockey, snooker, tenis, volleyball, soka n.k unahitajika kuwa versatile ili upige pesa. Mchezo kama basket mshindi huwa determined kabisa so nao ukiweka timu za kueleweka say timu kumi hukosi total odds ya 3+. Ukiweka mzigo wa kueleweka means pesa inakuwa tripled.

Kauli mbiu yetu ni
"Betting means bussines"

Leo nina apply hii ntatoa majib kesho
 
msaada wa postal code ya tanzania jamani nimejaribu kujoin 10bet inaniambia niweke postal code ya Tz.
 
Mkuu hio ni country code, jamaa anaulizia postal code which navojua mie tz bado tunatumia P.O.Box

Hata ww umekosea zip code ni zingine.....Google zip code for(any region which ur living) utapata.
 
Back
Top Bottom