Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
haya jamani mechi za kwanzia kesho mpaka jmosi..... Kazi kwenu.......utajua pesa utakayo weka au timu utakayo punguza ila hii ni special kwa makabwela wenzangu
Poinst/odds 283.5
Kuna timu ya kikapu mamaaaaa..... Wale jamaaa ------------ hatariii ...... Duh..... Quarter 29..2quarte 30 ....3quartr 29.... ---- la ------ ....wakaweka under/over 130.5.... Kimahesabu 4quarter walitakiwa kufika 42..... Quarter zote hawajafika 50.... Nkaweka 5000 duh.... Wamefika 55......... Maaaaayoooooooooo.........

si hii iliyo isha 10:46
yaani mi nilikuwa naomba over......
hao hao aseee.....
mkuu mie sijuwi na nini na Basket, game zote za jana kuanzia asubuhi mpaka usiku saa kumi, nimeliwa game moja tu, Basket nakula sanaaaaaaa,
unacheza ova au final results