Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nmetoa hela toka asubui saa kumi na mbili had saiv kimya

Kwa M-Pesa hela inachelewa sana, bora uende Betshop, ila nako kama hela ni nyingi wanasumbua sana.

Inshort kuliwa ni haraka sana kuliko kupata hela uliyokula.
 
Kwa M-Pesa hela inachelewa sana, bora uende Betshop, ila nako kama hela ni nyingi wanasumbua sana.

Inshort kuliwa ni haraka sana kuliko kupata hela uliyokula.

Inaweza chukua saa moja
 
Mimi nimetoa mara moja na ilichukua saa less than one hour

Ukiwapigia simu wanasemaje?

Toka saa nne asubuhi walikuwa hawapokei simu wala kujibu SMS. Wamenipigia saa 11:40 wakaniambia mpaka saa 1 jioni itakuwa tayari.

Saa hizi ni saa tatu bila bila
 
kumamamamaeeeee...... mtandao ndio unakubali...... vijiji.i ni noma sana.... kituo changu ni MALAMPAKA..... net ndio inarudi.....
 
natazama mkeka wanfu 2+ niort creteile..auxer.3+ fulham...bangor...bala town ..crusaders..na reading....
 
Aiseee hiki kimavi cha kukosea team moja kimeniandama..cheki nilivyopishana na gari la mshahara leo
 

Attachments

  • 1416603964126.jpg
    37.5 KB · Views: 109
  • 1416603978448.jpg
    31.1 KB · Views: 108
  • 1416603995903.jpg
    84 KB · Views: 110
  • 1416604079077.jpg
    120.5 KB · Views: 106
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…