Mi leo nabet game ya escrow. Odds zipo hivi. Waziri mkuu win 5.00. Mwanasheria mkuu lose 3.45, draw 4.05... Sijui mzigo niweke wapi.
Mainvesta ivi hakuna hata mmoja aliyepata ule mgao atupunguzie kamtaji ka kupambana na mhindi, maana ule mgao si mchezo.
Levekusen,atletico weka hela yote ya escrow
Ndugu unataka tujiuzulu masikini??
hahahah game uhakika hizo baharia
marking scheme
Levekusen,atletico weka hela yote ya escrow
Hela ya escrow chalii, yote kwa muhindi.
Hela ya escrow chalii, yote kwa muhindi.
ule mgao ningeupata ningefungua namimi kampuni ya beting
Tupieni mikeka ya leo wakuu