Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wenzangu nimekaa nikatafakari, nahisi huyu mdosi ni mchawi! Yaani unaweza ukasuka mkeka ukauamini, kinachokuja kutokea unaweza kupararalize aisee, hebu oneni Westham alichonifanyia last weekend!

Westham Loss.jpg

Sasa hivi nataka niwe nacheza kwa macho zaidi ya ukweli, mpaka siku nikiona nimemsoma mdosi ndio najitosa!

Basket nayo hali mbaya, kina Lebron James nawaamini wananipiga za macho.
 
View attachment 205533

du? Pole sana ulikua umechanganua accordingly
 
nawaza kujilipua na bayern,ilaaaa click ya SUBMIT TICKET ni ya moto
 
Wazee wenzangu nimekaa nikatafakari, nahisi huyu mdosi ni mchawi! Yaani unaweza ukasuka mkeka ukauamini, kinachokuja kutokea unaweza kupararalize aisee, hebu oneni Westham alichonifanyia last weekend!

View attachment 205533

Sasa hivi nataka niwe nacheza kwa macho zaidi ya ukweli, mpaka siku nikiona nimemsoma mdosi ndio najitosa!

Basket nayo hali mbaya, kina Lebron James nawaamini wananipiga za macho.

We nyamaza kama sie huku....vipigo tulivyopata sunday na monday 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
 
Nimeweka Pesa toka morning, Meridian wajaniwekea kwenye Account yangu, huu ndo ulikua mkeka wangu...
TOtal points zilikua 624

Dartford....28+
MK Dons......G.G
Kiddermister...win
Dover Athletic....win
Braintree.......win
BATE VS PORTO.....total goals 2-3
Man city....total goals 2-3
CSKA MOSCA....28+
 
Mi kwa roma tayari omekubali bado bayern naomba wasiniangushe nipige mzigo wa maana!
 
��������Dah,.asante Chelsea,.
 
salaam wakuu!
juvestus
b.leverkusen
r.madrid
atletico
arsenal GG
Anderlecht GG
hata mkopo weka tu!
 
Jana😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
 
Jamanie mimi jana ndio ilikuwa mara ya kwanza kubet nikabet kwa chelsea na cska mosocow na nimepatia vp mshiko wangu naupataje?,game nyingine nimeliwa
 
Back
Top Bottom