Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazee wenzangu mnamwona nancy leooo
Liverpool wamenipa likizo hadi December 12 ndo nitarudi kwenye betting. Likizo rasmi
jana nilitaka kujilipua na laki2 kwa timu 2, 1860 Munchen ll na Lyon , odds jumla zilikuwa 4.2, gemu ya 1860 Munchen ll ilikuwa inaanza saa 10 jioni na Lyon saa moja usiku.
Nikafika betshop mwenge ilikuwa 10 kasoro, gemu ya 1860 Munchen ll ndio ilikua inakaribia kuanza, kukawa umeme umekatika na network zao zinazingua, nikasema mbona leo nitakosa pesa, wakarebisha mambo saa 10 na dk 20 gemu ya 1860 Munchen ll ilikuwa ishaanza. Nikawa naitafuta kwenye live in play ya meridian niicheze live sababu niliangalia matokeao bado walikuwa hawajafungana kwahiyo odds hazijabadilika na nimuweke pamoja na Lyon, nillitafuta wee sikuiona kabisaa.
Nikajiondokea nikasema basi nimekosa ela leo, nikaenda kutafuta timu nyingine kuiweka na Lyon nikaifikiria Juventus, kwahiyo nikarudi beshop nikiwa na timu 2 Lyon na Juventus, lakini nikakumbuka nilivyokuta umeme umekatika pale betshop nikasema labda was warning sign nisije lazimisha nikapigwa za uso. Baadaye naangalia matokeo Lyon kadrwa 0-0 japo 1860 Munchen ll alishinda1-2! Nikasema mama yangu saivi laki2 ingekuwa imeshakwenda na maji, sasa sijui kuna ukweli kweny hizi warning sign, ebu ngoja nimuulize Pasco .
halafu wakuu mbet leo ukiingia inakuletea maelezo tofauti kwamba M-BET Beta
*18** . sasa nashindwa niingize data zipi nipate menu ya mechi. naombeni msaada wakuu
mbona mi ipo kawaida tu... Halafu wameanzisha online na wenyewe
Dah, bora Meridian wapate ushindani online maana wanajidai sanaaaaaaa.
Nimeiangalia site yao naona bado wako shalow sana, tusubiri kwanza.
Leo mzigo kwa genoa na fortuna dosedolf
ujasiri kama huu ndio utanifanya nimuue liver kesho kutwa na week end!Aston Villa £30, liwalo na liwe
odds jumla ngaap?
ndo wameanza juzi nadhani bado wanatafuta uzoefu
Nipe link maana huku Namtumbo meridian inanifanyia mtima nyingi.
Na utaratibu upoje kule
Nilichanganya na premier betting.www.m-bet.co.tz