Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkeka chaliiiiiiiiiiiiiiii, mamaeeeeee zake stock, wolfs

jana nilitaka kujilipua na laki2 kwa timu 2, 1860 Munchen ll na Lyon , odds jumla zilikuwa 4.2, gemu ya 1860 Munchen ll ilikuwa inaanza saa 10 jioni na Lyon saa moja usiku.

Nikafika betshop mwenge ilikuwa 10 kasoro, gemu ya 1860 Munchen ll ndio ilikua inakaribia kuanza, kukawa umeme umekatika na network zao zinazingua, nikasema mbona leo nitakosa pesa, wakarebisha mambo saa 10 na dk 20 gemu ya 1860 Munchen ll ilikuwa ishaanza. Nikawa naitafuta kwenye live in play ya meridian niicheze live sababu niliangalia matokeao bado walikuwa hawajafungana kwahiyo odds hazijabadilika na nimuweke pamoja na Lyon, nillitafuta wee sikuiona kabisaa.

Nikajiondokea nikasema basi nimekosa ela leo, nikaenda kutafuta timu nyingine kuiweka na Lyon nikaifikiria Juventus, kwahiyo nikarudi beshop nikiwa na timu 2 Lyon na Juventus, lakini nikakumbuka nilivyokuta umeme umekatika pale betshop nikasema labda was warning sign nisije lazimisha nikapigwa za uso. Baadaye naangalia matokeo Lyon kadrwa 0-0 japo 1860 Munchen ll alishinda1-2! Nikasema mama yangu saivi laki2 ingekuwa imeshakwenda na maji, sasa sijui kuna ukweli kweny hizi warning sign, ebu ngoja nimuulize Pasco .
 
Last edited by a moderator:

lyon niliogopa ila munchen kushinda ilikua lazima.......
 
1860 munchen ll ni wanyama wakali sana, walipewa red card na bado wakashinda gemu, Lyon angenipa za uso jana, halafu huwa napigwa na uso na timu ambazo huwa naziamini sana kushinda!
 
Naombeni wazee wenzangu Mkeka wa timu tano nataka Kubet M-BET HANDCAP,Tafadhali.
 
Asee hata mm Lyon jana nilimpatia wasiwasi, nikamuacha kweli kadroo na mkeka niliomuacha umekula.
Cha muhimu timu za ugenini tusizipe labda iwe barcelona na madrid ndio uhakika
 
Liverpool wamenipa likizo hadi December 12 ndo nitarudi kwenye betting. Likizo rasmi
 
asee ni hatari sana.....sanaaaaa

Yaani kiukweli nimepigwa za uso nyingi sana hadi kuweka mikono juu, ujue yamenifika shingoni kabisa. Nikiendelea nazama kabisa. Bora nikirudi Tz nianze upya vizuri
 
Hivi kumbe kuna watu bado wanaibeti liverpool final winner??!! Basi kuna watu wajasiri sana!! Liverpool ni wakumbetia gg au 3+ tu, ni mtazamo wangu tu.
 
Ni makosa madogo madogo niliyofanya na sikuweza amini kama liverpool angefungwa tena tatu. Mi nilimpa both teams to score and liver to win ila akanikalisha paaa.
 
Liva hata acheze na mtibwa simpi dhamana

halafu nimegundua fursa ya kumuua liverpool na kupiga pesa, halafu naweka 50 au kuendelea timu moja tu. Ebu ngoja nianze kumuua kuanzia uefa, anayecheza naye Ludogrates kapewa odd ya 4.35 ebu ngoja nijiulizea mara sabini sabini.

mwingine fursa ya kumuua ni borussia kwa ligi ya nyumbani sio uefa, wanaocheza na borussia ligi ya home hata ukiwapa double chance odd zinazidi 3.
 
Tena hutakiw kuwa na tamaa . angalia tuu mtaj usipotee . kwa mfano kwa mfano wa siku ukipata 20000, inatosha kwa 20000×30 =600000 huu ni mshahara wa mtu betting ni ajira mie ngoja nijiajil naanza na mtaji wa 50000 ntarud hapa kuwapa mrejesho
 
Back
Top Bottom