Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Wazee wenzangu nimekaa nikatafakari, nahisi huyu mdosi ni mchawi! Yaani unaweza ukasuka mkeka ukauamini, kinachokuja kutokea unaweza kupararalize aisee, hebu oneni Westham alichonifanyia last weekend!

Sasa hivi nataka niwe nacheza kwa macho zaidi ya ukweli, mpaka siku nikiona nimemsoma mdosi ndio najitosa!
Basket nayo hali mbaya, kina Lebron James nawaamini wananipiga za macho.

Sasa hivi nataka niwe nacheza kwa macho zaidi ya ukweli, mpaka siku nikiona nimemsoma mdosi ndio najitosa!
Basket nayo hali mbaya, kina Lebron James nawaamini wananipiga za macho.