Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

final winner now kubet ni ngumu sana, nimeweka GG gemu 9 hapo juu, zote 8 zimekubali imekataa gemu ya Marseile vs nantes !! niliweka buku nimekosa 180,000/= !!!
 
umerudi tena ktk soka

nimeweka 2+ game 8..... kaua WISLA CRAKOV...
YA NORMAL GAME 5 KAUA...SEARING..... yaaaniiii soka nalitema....... bora nibaki na kikapu tu.....normal ya game 8 kaua tena searing.... NA GLENAVON.... REFFER MKEKA NILIWEKA
 
dah.....ilichonifanyia mtandao nimekosa game zote aseee.... kila ukifungua page ..page not found.... sio bahati yangu leo..... aliecheza hizi game za ncaa na nba ...mrejesho
 
dah.....ilichonifanyia mtandao nimekosa game zote aseee.... kila ukifungua page ..page not found.... sio bahati yangu leo..... aliecheza hizi game za ncaa na nba ...mrejesho

Nimecheza NBA nikaliwa moja nikala moja, game ya Memphis final quarter nilikuwa natumia mtaji wote internet ikazingua. Kifupi nimebaki kama nilivyoingia.

Game ya Lakers nimeogopa kuweka over, majamaa yanaenda mpaka 240 plus leo.
 
dah.....ilichonifanyia mtandao nimekosa game zote aseee.... kila ukifungua page ..page not found.... sio bahati yangu leo..... aliecheza hizi game za ncaa na nba ...mrejesho

Kuna trend moja nimeiona NBA, kama timu zimeenda mpaka 60 kwa quarter 3 za mwanzo, quarter ya mwisho ni under, hii mara nyingi ni kwa zile zilizoachana point nyingi kidogo, anayeongoza anawapumzisha mastaa.

Kama timu zimeenda under quarter 3 za mwanzo, quarter ya mwisho ni over, hasa hasa kama zinakaribiana point.

Nikikutana na hizi case nitakuwa natupia mzigo mkubwa kidogo.
 
Nasubiri mechi ya Brisbane Roar na Perth gory nijazilize mtaji
 
Nimecheza NBA nikaliwa moja nikala moja, game ya Memphis final quarter nilikuwa natumia mtaji wote internet ikazingua. Kifupi nimebaki kama nilivyoingia.

Game ya Lakers nimeogopa kuweka over, majamaa yanaenda mpaka 240 plus leo.

duh.... 240.... mi mpaka sasa mtandao unazingua

man utd win
swansea win
arsenal win
real Madrid win
bournemouth win
chelsea win
leverkusen win

mechi ya leverkusen ni derby..... uzuri leverkusen hajapoteza home game 10 mfululizo
odds 18.5.....mtandao unagoma aseeee..... afu point zita drop.....
 
nawekaga betslip hizi... namfata kama alivo.... kama mnanisoma jamaaa hawa betslip zao 90% wanapatia.....
 
Attachments

  • 2014-11-29--10_43_39.jpg
    15.5 KB · Views: 150
Ngoja nianze kwanza kwa kumpa Arsenal 1000 ksh. Afu ikilipa naipa Chelsea, Man U, Real etc
 
Leo kweusi jamani! Leo mi nazipa timu kubwa tu. Kuanzia Arsena, Man U, Chelsea, Bayern, Maldrid na PSG.

we jamaaa umenicopy bila kujua.... 5000...unapata 21322..... nimewaweka kama walivyo wakubwa hao watuue sasa......
 
nearly to sure bet.....

------------------------------------------
[9/9]
1458 29-11 18:00:00 Institute-Crusaders 2 odd 1.40

0783 29-11 22:00:00 Malaga-Real Madrid 2 odd 1.30

0236 29-11 19:00:00 P S G-Nice 1 odd 1.20

0129 29-11 18:00:00 Mordovia-Zenit 2 odd 1.35

0602 29-11 17:30:00 Hertha BSC-Bayern Munc 2 odd 1.19

0773 29-11 21:00:00 M. Tel Aviv-H. 1 odd 1.33

1699 29-11 15:00:00 Haskovo-Beroe 2 odd 1.26

0709 29-11 18:00:00 Lombard Papa-Videoton 2 odd 1.30

0136 29-11 18:00:00 Man Utd-Hull 1 odd 1.32

------------------------------------------
 
jamani hawa meridian tangu juzi nimeweka hela yangu hawataki kuniwekea kwenye a/c yangu nawapigia wanadai mtandao unasumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…