Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sporting cp na Madrid wamenipunguzia machungu,.mzungu nilizid kumzoea Sana nimempiga siku4 mfululizo Jana kaniotea mmkeka m1 katika mitatu..

MKuu uwe unaweka mikeka yako hapa, sharing is caring.
 
MKuu uwe unaweka mikeka yako hapa, sharing is caring.

misiomtallam wasoka kaka ila nachiguliaga za wakina rockcity,.na mtoto WA nzi+na hisia zangu zinavyonituma.ila Leo nakopy mtoto WA mzi kama alivyo
 
Mimi leo
Mancity wins and Over 2.5
Cruzeiro
Corinthians
Toternham GG
Roma Over 2.5
Juve
Milan
Palermo
Porto
Benfica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…