Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

niliamini dortmund angufufukia kwa frankfurt ....kakalishwa...... amekuwa kama MBEYA CITY ..... kanchania mkeka

unaopumua ni wa 2+ ambao niliucheza nkiwa vyombo..... amebaki roma2+ ....
 
Nimempa jive,benfica,na barca had sasa halosio mbaya kiivyo..
 
Dortmund hawa yaani wananikosesha wao tu mkeka mzima. Dah kweli siku ya kufa nyani, miti yote huteleza
 
Mkeka mixer kikapu na hockey

mobis phoebus win
galatasaray win
sassari win
chomotov win
saligorsk win
hc mvd win
avangard win
metallurg win

odds 19....
 
wazee wa kujilipua na wapenzi wa basket kuna game za Turkey TBL leo
[TABLE="class: table"]
[TR="class: odd"]
[TD]Besikta kapewa odds 20 na niwazuri kinoma asilimia ya kushinda ni 80%

mwingine ni PINAR kapewa 25 nae yuko vizuri kidogo mnaweza mkajilipua hapo kwa mechi moja moja au hata zote



[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]

[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD]


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Me walishawahi nitumia saa moja usiku ingawa nlizoea saa6
 
Mkeka mixer kikapu na hockey

mobis phoebus win
galatasaray win
sassari win
chomotov win
saligorsk win
hc mvd win
avangard win
metallurg win

odds 19....

Haha Mkuu style yako nimeipenda,mie hua napendeleA mixer ya horse racing na football
 
Back
Top Bottom