Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Basi unamtoa Besiktasi unamweka ST etiene au hata Newcastre naona kama anashinda
 
Yaani mie kinachoniuma sana ni hawa watu ambao ni wakubwa ila wanapigwa ma timu ndogo. Madridi haangushi mtu ila odds za madrid ndogo sana
 
Madrid
Benfica
Qarabag
Hao ni wanashinda uhakika shida ni odds walizopewa hata ukisema ulipuke hazina faida.....
 
Hizi zina jumla ya odds 7.8
uhakika wa kula hela ni zaidi ya 75%
Ila ""bet at your own risk""
 

Attachments

  • 1419150004549.jpg
    32.1 KB · Views: 164
Wadau me nimejilipua na buku nikatia
Hertha Belin-Draw,
Torino- Draw,
Atalanta-Draw,
Verona-Win
Villareal-Win
Ngoja nione kama huu uongo unaeza toka maana sku hizi ukibet kihalali unaliwa tu tena tim kubwa ndo wanazingua.
 
Wadau me nimejilipua na buku nikatia
Hertha Belin-Draw,
Torino- Draw,
Atalanta-Draw,
Verona-Win
Villareal-Win
Ngoja nione kama huu uongo unaeza toka maana sku hizi ukibet kihalali unaliwa tu tena tim kubwa ndo wanazingua.

Njia rahisi sana ya kula hela za akina kanjubai... tumia mtaji mkubwa kupata faida ndogo...

Tafuta walau mtaji usiopungua Laki moja uwe una-bet match moja baada ya kufanya upembuzi yakinifu. Nakuhakikishia kila mkeka utakuwa na uhakika wa kutengeneza faida ya kuanzia elf.20000 na kuendelea kutegemeana na odd.

Tatizo lenu wengi hapa mnapenda vya dezo. Eti unatandaza mkeka wa match kumi kwa kuweka jero? Pesa utaendelea kuisikia kwenye mabomba mwaka mzima.

Uwezekano wa kupatia match nyingi ni mdogo sana... hii ni kama biashara ya dhahabu.. pata potea, kuweka mtaji mdogo ukitegemea kutengeneza faida kubwa ni risk kubwa sana na uwezekano wa kupoteza ni mkubwa.

Toka nilipomaliza mwaka mzima bila kula hata mia kisa kutandaza mikeka ya match mpaka 17. Nilikaa chini nikatafakari njia mbadala ambayo ni hii ya kubet match moja moja peke yake na kutupia mpunga wa maana. Alafu msipende kukimbilia ma-ligi makubwa sana ya ulaya. Kuna ligi za nchi kama za amerika au ulaya lakini nchi za kawaida huko kuna kwenye ligi zao kuna hela ni balaa. Unakuta odd zao zimekaa vizuri mf.2.30 kwa 2.70 badala ya kukimbilia za epl au spain na italy za 1.01 kwa 18.00, kisa madrid anacheza na katimu kanakoshika mkia. Sasa jiulize hata ukibet madrid na akashinda hapo utakua umeingiza nini? Na ndo akipigwa au ku-droo unaanza kulia mwenyewe... hahahaha.

Kuna match nishabet mln.1 nikapiga laki 9 faida.

NB. Tumia mtaji mkubwa kupata faida ndogo.
 

Hili nalo neno
 

Mkuu nimekuelewa kwa hili lakini pia Betting company nyingi wanalazimisha ziwe atleast 2 na kuendelea.
 

Laki sio mtaji......
Inatakiwa million+
Watu tunamitaji ya 300 lakini hizo mimba ni kisanga
 
Leo meridian wangu japo c mshiko mrefu maana hata uwekezaji wenyewe n mdogo nani mgeni kwenye hii secta. All in all thenx to GOD kwa kunipa akili ya kupanga huu mkeka.
 

Attachments

  • 1419193139384.jpg
    39 KB · Views: 167
  • 1419193162755.jpg
    38.8 KB · Views: 154
Leo meridian wangu japo c mshiko mrefu maana hata uwekezaji wenyewe n mdogo nani mgeni kwenye hii secta. All in all thenx to GOD kwa kunipa akili ya kupanga huu mkeka.
mkuu sasa kwanini hukuweka huu mkeka mapema, unauweka baada ya kula? haya bhana!
 
Chelsea na rio ave ods ni 3 weka hata bajet ya xmas


Nakumbuka kuna bet ulimpaga Rio Ave akachemsha! Harafu hii timu anayocheza nayo imemzidi point 2 kwenye msimamo wa ligi, kwa sababu yuko nyumbani, mpe draw or win.

Ila Chelsea ni uhakika, naangalia pia kumpa Juve win or draw kwenye huo mkeka.

Iwe hivi:

 

hahah rio ave nae hua haminik kama newcastle
 
At last game ya PAC na Escrow imeisha leo!

Kina Muhongo wameshinda kwa kishindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…