At last game ya PAC na Escrow imeisha leo!
Kina Muhongo wameshinda kwa kishindo.
Jamani naombeni ushauri.
Nina 99000 meridian. Nataka mpa Chelsea Win and total goals 2.5+ mwaonaje wakuu
At last game ya PAC na Escrow imeisha leo!
Kina Muhongo wameshinda kwa kishindo.
kuna mtu katusua milioni 17 huko..,,
kuna mtu katusua milioni 17 huko..,,
Dah ngoja nianze kwenda vibadani kuanzia leo maana jana Chelsea pamoja na ushindi wao sijafurahia maana wameenda na 94000 yangu
Mkuu hao ni premier? Wao hawana limit?
Dah yaani 10000 kapata hela ya kiwanja tayari
du baharia huo mkeka tugawane
Jaman tupe hata vocha vocha tu.
Dah ngoja nianze kwenda vibadani kuanzia leo maana jana Chelsea pamoja na ushindi wao sijafurahia maana wameenda na 94000 yangu
rahim_bahariaDah! Pole mkuu kunasiku tutapga.
Basketball imenipa pesa ya mbege mpaka nikitoka huku kuhesabiwa.. Mpira sina time nao
Hivi ncaa half ni dakika ngapi
Premier hawana limit aise ni utabiri wako tu hata milion 20 wanakupa..]
Premier wana limit ya kusoma kwa mkeka, ni hiyo milioni 20 uliyoitaja ndo limit. Zaidi ya hapo machine inakataa kusoma.
Msaada. Hawana online?Premier hawana limit aise ni utabiri wako tu hata milion 20 wanakupa..]
Premier wana limit ya kusoma kwa mkeka, ni hiyo milioni 20 uliyoitaja ndo limit. Zaidi ya hapo machine inakataa kusoma.