Mnyepe Boy
Senior Member
- Apr 17, 2013
- 101
- 16
Hili nalo neno
wen unamasiara nn , iyo m1 wakila c utajilaumu mwaka mzima
Kuna match fixer mmoja anahojiwa CNN sahivi kweli hawa ndo watu wanaofanya muhindi atajirike
Channel gan mkuu...
kubet kikapu inabidi uijue vizuri, usbet mchezo amabo hujaujua vizuri....Wakuu nataka kujua jinsi ya kubet kikapu Meridian...
one day yes na mimi nitakuwa macth fixer wa kimataifa, it is illegal though....:boxing:CNN mkuu kuna muhindi mmoja anaelezea jinsi alivokua anafix matches
Dah mazeee kesho meridian ligi ya bongo ndani......nimeicheki hapa duh.....point nzuri tu
Dah mazeee kesho meridian ligi ya bongo ndani......nimeicheki hapa duh.....point nzuri tu
Lakini simba si anacheza na Kagera kesho????
Kagera sugar vs Azam .Nkmpa Azam win vp wakuu hapo.
simba vs mbeya city.
hapo ndio pamenchanganya SIMBA NI VS KAGERA... YANGA VS AZAM.....au wameweka ratiba ile ya zamani...
Wadau hzi mechi za nyumbani znakaaje?