Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku ikinitokea mimi sijui kama bank za Tanzania zitakubali pokea hizo hela maana ni nyingi sana
...Watakupaa tuu yaan..

Naifufua account yangu ya williamhill wiki ijayo. Jumapili lazima nile hela ndefu tu kwa meriddian
 
Siku ikinitokea mimi sijui kama bank za Tanzania zitakubali pokea hizo hela maana ni nyingi sana
...Watakupaa tuu yaan..

kama zinapokea bilion 300 za escrow washindwe pokea bilion moko ...wanakupa mtonyo safi!!!
 
Wenye account iplay8 wametoa bonus tuzitumieni vzuri sasa ili tufunge mwaka vizuri..,,
 
alichonifanyia liver kushindwa kushinda halftym....... sina hamu....25M.......zimepita hivihivi........LIVERPOOL..... NIMESHINDA NDANI KAMA MGONJWA
 
jaman leo natak bet naona pagumu balaaaaa....cna uhakika na united na bluez......cty najua atashnda tuuu..aseno...mmmmh
 
Mkeka wako uwe hivi:
Bournemouth
Preston
Swindon
Bristol city
MK dons
Man city
Burton Albion
Weka mzigo unabomoa maisha.
 
Man city
Bournemouth
Bristol
Swindon
Mk dons
Barnet
Besiktas
Win zotee
..
 
leo natk nimpige muhindi kama juz......nilifuata mkeka wa jamaa fuln nikachng.kodog kikatusua....leo naomben tupieni mikeka yetu niingalie nichangny na zangu nipige pesa.....
 


kwa kuwa meridia mwisho ni 5M.... nkautoa mara 5 kwa 4000....nkapigwa 20 jumla.... sina hamu .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…