Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli Mdosi ana nyota *****, jana nimejiua draw 5 zikatoka 4 moja ikashindikana.

WestHam - Draw
Bristol Rovers- Draw
Newcastle- Draw
ManUtd- Draw
Arsena-Draw *****

Arsenal ndo aliniua mamakee, tena kwa makosa ya kizembe ya Szcsezny ---- yule.


wewe kumbe ndio umenikosesha hela kwa west ham na bristol rovers,

wakati mimi naomba washinde, wewe ulikuwa unaombea drwa.....
 

hahahaha kaka ungempa liverpool draw ila arsenal kwa southampton hawawezi fua dafu ng'o .
 
wewe kumbe ndio umenikosesha hela kwa west ham na bristol rovers,

wakati mimi naomba washinde, wewe ulikuwa unaombea drwa.....

hahahahahaha kumbe tumeliwa wengi mi ndo nimevuruga kabisa jana.

Stoke Lose
Man city Win
Liver Win
Newcastle Win
Tottenham Lose
 
Minauliza ukiangalia kwenye mkeka huwa kuna 1+ipo kwenye kivuli kwa timu husika inakuwaje?naombeni jibu
 
Minauliza ukiangalia kwenye mkeka huwa kuna 1 ipo kwenye kivuli kwa timu husika inakuwaje?naombeni jibu

Katika kubet kuna kubet kwa aina 2 kuu yaani normal (kawaida) yaani matokeo yatakavyokuwa ndivyo yatakavyowasilishwa kwa wachezaji kwa mfano jana wamecheza Tottenham vs Chelsea na tottenham alishinda bao 5-3 na matokeo yakawa hivyo hivyo kuwa Tottenham alishinda pia vilele kwa stoke vs man u jana walitoka sare bao 1-1 na matokeo yakawa hivyo hivyo.

Aina ya pili ya kubet ni handcap ikiwa na maana kuwa inakupasa utabiri matokeo kwa timu fulani ishinde kwa tofauti ya magoli mawili na katika handcap timu dhaifu huwa inapewa goli 1 la ziada na kampuni inayochezesha kamali kwa mfano jana kwenye handcap mechi ya stoke city vs man u iliandikwa hivi STOKE CITY ( 1) vs MAN UTD ikiwa na maana kwamba endapo stoke city ikitoa sare ya aina yoyote inahesabika imeshinda mchezo kwa mfano ikitoka 0-0 inahesabika imeshind kwa goli 1-0 ,na ikitoka 1-1 inahesabika imeshinda 2-1 ,pia ikitoka 2-2 inahesabika imeshinda 3-2 na endapo ikifungwa 0-1 inahesabika imedraw 1-1 na ikifungwa 1-2 inahesabika imedraw 2-2 pia ilikusudi stoke city ifungwe ni lazima goal difference iwe ni 2 na kuendelea kwa mfano ifungwe 0-2,1-3 ,2-4, 3-5.

KWA HIYO UKIONA TIMU IMEWEKEWA ALAMA YA ( 1) KWA PEMBENI BASI TAMBUA IMEPEWA GOLI 1 LA NYONGEZA DHIDI YA TIMU PINZANI.
 
Minauliza ukiangalia kwenye mkeka huwa kuna 1+ipo kwenye kivuli kwa timu husika inakuwaje?naombeni jibu
 
Darko – Single (02.01.2015)
01:00 Charlotte Hornets – Cleveland 196,5- (under 196,5) 1.90
02:00 Oklahoma City Thunder – Washington Wizards 1 1.35
04:30 Golden State – Toronto 212,5+ (over 212,5) 1.90


Previews:
Charlotte Hornets vs Cleveland Cavaliers
Well in local bookies we have this border which for me is pretty high. Probably they will fall a little
in the evening. Main reason for this tip are the absences.
Charlotte will be without their best player Al Jefferson (18 ppg / 8,2 rpg). Also Lance Stephenson
(10,2 ppg / 6,8 rpg) is injured and he is also important player. Pargo is questionable. So, I doubt
that this team have enough offensive power to score more then 90-95 points.
Cleveland Cavaliers is playing really bad. Lebron James got injury and he will be out for about 2
weeks. He is their best player, so without him it will be tough to score more then 95 points. Also
Varejao is out, he will miss the rest of the season. Questionable are: Marion and Love (another
important player). They have Irving, but in last game they scored just 80 points against Bucks.


I expect under 185--190 points here. Probably online bookies will put lower border for this game.


Oklahoma City Thunder vs Washington Wizards
Oklahoma in last game played one incredible game. They won against Suns 137:134 in overtime.
Westbrook was ejected in second quarter, but Durant scored 44 points and they won the game.
Oklahoma have all players available, so at home ground I expect Thunder to win.
Washington Wizards in last game lost from Dallas 114:87. One really bad game from them. For this
game they have few doubtful players and probably their status will be known in the evening.
Questionable are: Nene, Beal and Gooden. Nene and Beal are important players and without them it
will be tough to play against Oklahoma. Even with them in the squad, I think that hosts will win
this game.


Golden State Warriors vs Toronto Raptors
Golden State in last game won against 76ers 126:86. That was one easy game for them. After that
they had 2 days to rest and they are well prepared for this game. I wrote about them and their
offensive power. They can score above 110 points without problems. Injured are Ezeli and Bogut.
Toronto had tough game against Portland, but also they have enough time to rest and I expect
much better performance from them. For tonight Fields is questionable, while DeRozan was able to
participate in full practive but will miss this game. He is near to be back.
I expect high-scoring game.


Last 6 games between these two teams in Golden State:
Golden State Warriors vs Toronto Raptors 112 : 103
Golden State Warriors vs Toronto Raptors 125 : 118
Golden State Warriors vs Toronto Raptors 138 : 100
Golden State Warriors vs Toronto Raptors 124 : 112
Golden State Warriors vs Toronto Raptors 117 : 111
Golden State Warriors vs Toronto Raptors 117 : 106
 

Asante sana kwa maelezo yako mazuri. Labda unisaidie kitu kidogo hapa, mfano unakuta kijedwali cha mstatili chenye vyumba vitatu kimeandika Everton 8.00/mancity 1.0/chumba cha mwisho H-1.50.

AU Everton 7.00/mancity 1.05 /H 1.00.

AU Eveton 1.09/mancity 5.00/ H 2.00.

Hapa inakua ina maanisha nini????
Asante.
 
we jamaa nimekujibu vizuri hapo juu bado tu unauliza inaonekana haupo makini kabisa.

Dola iddy kwa mfano mimi nimebet kwa M-bet na nimeshinda mechi zote za 1 tarehe 2 malipo sijapata na zimepita siku 3 je,hapa nina fanyaje ili kuupata mtonyo wangu? Nipe ufafanuzi kidogo
 

M-bet hawalipi ela nishinda mechi za tarehe 1 mpaka sasa tarehe 3 hawajalipa jamaa longo longo alafu waswahili wengi mno kule
 
nimefanikiwa kupga mkeka wa game 5 so am waiting nipay via mpesa

Mimi nipiga hiyo mi5 lakini hawajalopa m-bet niliweka sou(win)...tot(win)..hul(win)...n.k lakini jamaa longo longo nyingi tu ...nilibet kawaida..kasirika sana.wezi tu jamaa
 
Kama kweli umeshinda hata zipite siku tano utalipwa tu.

Siamini mkuu.maana mkataba wao ni saa 24 wanalipa...na hata ukiwapigia hawaeleki wanasema kama imepita siku ya malipo haulipwi..ofisi zao ziko wapi niende huko huko..nimepoteza pesa yangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…