jibril
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 594
- 243
Mkuu hawa Iceland bure kabisa***** Iceland mnashindwa kutoa ata GG,na msifuzu wapuuzi nyie shwain
Uwe unatupia huku kiongozi, watu wanataka sana wataalamu kama nyie.. hongera sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]***** Iceland mnashindwa kutoa ata GG,na msifuzu wapuuzi nyie shwain
Washenzi sana hao Iceland kwa kweli wameninyima mpunga mrefu sana***** Iceland mnashindwa kutoa ata GG,na msifuzu wapuuzi nyie shwain
Sawa mkuu..ila mwenyewe niliweka mkeka muda ukiwa umeenda sana.....maana ilikua zimebak dakika chache sana gemu zianze....Uwe unatupia huku kiongozi, watu wanataka sana wataalamu kama nyie.. hongera sana
Kila la kheri mkuu,
Nimeona unalitendea haki jina lako, mkeka wa nne au watano hv mfululizo huu naonaSawa mkuu..ila mwenyewe niliweka mkeka muda ukiwa umeenda sana.....maana ilikua zimebak dakika chache sana gemu zianze....
hahaha....pamoja asee! hii itakua poa sana ligi zikiiendelea na muasisi wa hii style akirudi....Nimeona unalitendea haki jina lako, mkeka wa nne au watano hv mfululizo huu naona
Naamn kesho hautochelewa saana... wakat huo koncho77 akijinoa, kanji haponi
***** Iceland mnashindwa kutoa ata GG,na msifuzu wapuuzi nyie shwain
Washenzi sana hao Iceland kwa kweli wameninyima mpunga mrefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] ila betting raha sana. Unalia na mmoja tu
DuhCroatia vs Kosovo mbona wame postpone lakini hawa mkekabet wametukata pesa
Zimwi