Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa mfano..
 

Attachments

  • 1420363944498.jpg
    33.8 KB · Views: 149
Nimeua vigogo imekuja mil 14 kwenye premier betting

Kama kumuua madrid dhambi basi chelsea asingekufa juzi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nilichogundua mwenye odds ndogo kwenye darts,rugby au a.footbal ana asilimia themanini kushinda,jaribuni kufuatilia hiyo michezo na wale wanaopenda double chance hockey kuna uhakika wa asilimia themanini kushinda so km unaweka game mbili za d.chance kuna uwezekana daily kupata hesabu.....ingawa some days hasara zipo km ilivyo kawaida ya business.
 
Kuna jambo humu inabidi tubadilike kama kweli tupo serious,mtu anasema copy hiyo basi angetusaidia kutoa sababu ya iliyomshawishi kuweka hizo timu ikiwa tutafanikiwa hiyo inaweza kuwa rahisi kwa kupata kitu cha uhakika zaidi......hilo jambo lipo ktk forums nyingi tu zinazohusiana na mambo haya.....!
 
Kwamkeka wa total odds mia..ningumu kuanza kueleza sababu kwa kila game..chamsingi jiongeze zama kwenye statistics okota timu zako kadhaa kisha tandaza jamvi..unataka uaminishwe vp zaid yakuwekewa ticket jamvini..
 
Wala si jukwaa la kubishana mzeiya!just nimeeleza in good faith sote tu pamoja dhidi ya adui......!kila la kheri na mkeka wako wa timu mia.
 
jaman kuna group nimelianzisha la wats up litakua linahusu uchambuz wa mech za kuweka katika mkeka kuanzia mpira wa miguu,kikapu ,hockey na tennis.
kwa hapa jamvin inakua ni nguma wadau kutiririka concept kwa sababu of privacy hivyo nawakaribisha nyote lakin hii ni kwa wale walio serious tu sio tunakuunga halafu we unakua inactive na kuwachora wadau wakitiririka ideas za pesa
ukihitaj kuungwa weka namba yako hapa ya wats up
 

0768408262
 
Hatuitaji magroup humu kunatosha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Watu wengine sijui wakoje, mmetukuta huku tuacheni, kama unatafuta kundi la watu wa whatsapp tafuta mtaani kwako. Unaongelea privacy hujui whatsapp ukiweka namba yako tu, natumia mpesa au tigo pesa kujua jina lako kamili?
 
mtoe barcelona. na pia hizo timu ni nyingi sana kaka.
 
hii vipi wadau? Guimaraes win
chelsea win
man u win
espanyol win
arbedeen win
real madrid win
Arsenal win
Benfica win
besiktas win
atromitos a win
odds 45. nimejilipua nasubiria tsh 630,060/=
 
Darko – Single (04.01.2015)
01:30 New York Knicks – Milwaukee Bucks 2 1.40
New York Knicks in big problems. They are so weak, very bad, one of the weakest teams so far in
whole league. They have more losses even from Philadelphia, team who is rated like the weakest.
Knicks also have problems with absences. For this game they will be without: Shumpert, Early.
Bargnani and Anthony are rated like „doubtful“ and almost for sure will miss this game.
Questionable are: Hardaway, Dalembert and Stoudemire. I had read and the most chances to play
have Hardaway who practiced yesterday.
Milwaukee Bucks is playing solid. They have 17--17 so far and if they continue to play good, for sure
they have chances for playoffs. For tonight they will be without: Parker (out for the season),
Ilyasova and Sanders. Questionable is Inglis.
They played before 2 months and Bucks won at home with 117:113. In that game Knicks had
Anthony, Hardaway, Shumpert, Stoudemire, but that was not enough. Without Anthony (and
others) will be tough to do something in this game.
Also good to try:

Double:
1. New York Knicks vs Milwaukee 2

2. Cleveland vs Dallas Mavericks 2

3. Cleveland(+7ah) – Dallas H2 1.90 (Put small money here)


19:00 Cleveland – Dallas /Dallas over 106.5 points 1,90
Cleveland Cavaliers is in bad shape. They are playing really bad. In last game they won against
Charlotte, but Charlotte was without 2 important players. Like I wrote before, Cleveland will be
without James (out for about 2 weeks) and Varejao (out for the season). They have short roster, in
last game they used 7 players (plus 2 who played 2-3 minutes). Against Dallas that will be a big
problem for sure.
Dallas Mavericks have 4 wins in a row. They are playing really good. In last game they won against
Boston 101:119. Rondo was perfect in that game in his first return to the Boston. No injuries for
the Dallas, all players available. They have deep roster, great roster with players like: Nowitzki,
Ellis, Rondo, etc.
Well, I doubt that Cleveland can stop Dallas here. Dallas offense is too much strong. I expect one
easy win for Dallas.
Mtoto wa nzi, Rockcity native, NkyaH etc
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…