Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nahisi kuna kigogo mmoja leo atawaliza watu kama sio Napoli sijui

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hivi inter mara ya mwisho kushinda lini.? Maana huyu jamaa ni bingwa wa draw, nadhani zaidi ya mechi 14 katika mechi 20 za karibuni amedraw
 
Kuna wakati mtu unashindwa na kun wakati unadhurumiwa, sasa hii ya leo ni dhuruma haswa.
Juventus anati.wa mse.nge yule. Yaani yeye tu ndo kaniua.
Mkeka ulikua hivi

Juve-win
Everton-draw
Scunthorpe-draw
Rio Ave - win
Bristol City - win
Malaga - win

Juve ndo alikua na point ndogo 1.41 na kadraw mse.nge yule. 56,500 nimeikosa kizembe sana *****.
 

Sichezi waitaliano teeena
 
Kilichonipata kwa malaga jana sina hamu....real nae hadhaminiki yaani hovyo nasubiri uingereza tu

Usikate tamaa mkuu, mimi jana juve kaninyima hela na leo nakuja hivi;

Valencia
Sporting sc
Lile
Vilareal
Atl. Madrid
Sc Braga
 

Mkuu usinilize bhana najitahidi kusahau bhana.tusahau
 
Leo
Real
Valencia
Villa
Braga
Marseille
Lille
Natupia 50,000 inakuja milioni na uchafu.
Jana juve na ever wamenikosesha 2.5k
 
Hivi kwenye meridian Web wanatumaga tiketi?na unaionaje kama wanatuma?
 
A.o.k. Kerkyra - Paok 4.99 A.o.k. Kerkyra Win Jan 7, 2015 - 6:10 pm
Pas Giannina - Apollon 1926 1.41 Pas Giannina Win Jan 7, 2015 - 6:10 pm
Sc Braga - Belenenses 1.46 Sc Braga Win Jan 7, 2015 - 9:55 pm
Nimeweka 5000. Napata 50000. M-BET kazi ni kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…