Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play auxerre nawapa draw ht pamoja na croix
 
Kama kawaida wa africa kuangushana ndo jadi yetu ivory kaniua ngoka nika reboot ubongo baa kwanza
 
Siamini jinsi Ivory coast walivyoninyima kilo 4 hivi hivi tena mapeeeeeema.,aargh
 
Ivory coast katukanyagisha kweli haswa huyu Gervinho ***** kweli. Mikeka yote kachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…