Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo ya mali kwanene usiito
Na uumpe Iraq handcap ya 1.5 or 2.0
Na game ya lyon kwanene usitabiri mfungaji (locazet) or magoli badala ya final result na game ya club brugge kwanini usinge weka 1X&2+
Na.....

Hapa ulitisha, dk ya 5 tu Locazet akatupia. Betting ya namna hii ndo nzuri mara nyingi.
 
Dah jamani huu mchezo mimi naona hizi siku kama nimefeli. Yaani nimetoka 188$ hadi 1$
Dah ila sitaacha huu mchezo lazima siku moja nitawapiga nyingi sana.
Leo napo ni siku tusikate tamaa
 
Dah jamani huu mchezo mimi naona hizi siku kama nimefeli. Yaani nimetoka 188$ hadi 1$
Dah ila sitaacha huu mchezo lazima siku moja nitawapiga nyingi sana.
Leo napo ni siku tusikate tamaa

Mkuu vipi tena.? Nini tatizo.?
 
Dah jamani huu mchezo mimi naona hizi siku kama nimefeli. Yaani nimetoka 188$ hadi 1$
Dah ila sitaacha huu mchezo lazima siku moja nitawapiga nyingi sana.
Leo napo ni siku tusikate tamaa

Mkuu vipi.? Hivi bet 365 ulifanikiwaga kutoa pesa kuja bongo.? Vipi hawakukukata .?
 
Mkuu vipi.? Hivi bet 365 ulifanikiwaga kutoa pesa kuja bongo.? Vipi hawakukukata .?

Yap nilitoa, ila benk nonayotumia waliziweka baada ya mwezi mmoja.
Nataka nijaribu baclays tz maana wao ni siku tatu tu unapata hela yako

Mkuu vipi tena.? Nini tatizo.?

Mancity jumapili alinitoa kabisa kwenye ramani. Nikarudi Japan, Ivorycoast wakanitoa kabisa. Chelsea na Lyon wakamaliza kabisa nimebakia na dollar 1 tu. Hiyo ndo nataka izalisha ikishindikana basi naachana na huu mchezo hadi ligi ikianza tena August
 
I learned that courage was not the absence of fear, but the triumph over it. The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear!

Leo hapa vipi?
 
Attachments

  • 1421832206079.jpg
    71 KB · Views: 199
I learned that courage was not the absence of fear, but the triumph over it. The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear!

Thanks for the comments and the good words.
 
hUU ni mchezo mbaya sana ni zaidi ya mtumiaji wa madawa ya kulevya na kwa sasa umeshamiri kwa vijana wengi nchini nawaasa wache mara moja
 
ha ha ha! Waafrika hatupendani! Jamaa wanaona wakifungana watakuwa wametufaidisha sana.

tangu afcon ianze ni algeria tu ndio ameonyesha njaa ya ushindi..... Ivory cost wanacheza kama wanasukumwa..... Ghana hawana morali kabisaaa..... Camerooon nao bure kabisa..... Mashindano hayana mvuto kama miaka 10 iliopita...watu wanapambana kwelikweli..... Waifanye kama euro watu wazimiss ....kila baada ya miaka mi2 ishapoteza mvuto
 
Pia nadhani wachezaji wanacheza huku wanawaza mashindano yaishe wakapige zao mechi za mpunga. Kwa sababu unakuta timu imejaa wachezaji wa nje ila inapiga nare nare!

Mimi mpira kwa ujumla nimeachana nao, nitakuwa nacheza mara moja moja sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…