Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada hivi promo code ni nini?...nimeshindwa kujaza wakati najiunga meridian msaada fasta wadau
 
Msaada hivi promo code ni nini?...nimeshindwa kujaza wakati najiunga meridian msaada fasta wadau

Ni ID ya mtu wa kukuhudumia pindi upatapo tatizo, kwa maana nyingine ni ID ya mfanyakazi ambaye amekushauri kujiunga.

Sio lazima uijaze, kama ukitaka wapigie 0754303032 uombe hiyo namba.
 
Ni ID ya mtu wa kukuhudumia pindi upatapo tatizo, kwa maana nyingine ni ID ya mfanyakazi ambaye amekushauri kujiunga.

Sio lazima uijaze, kama ukitaka wapigie 0754303032 uombe hiyo namba.

Poa mkuu
 
Dundee Utd kaninyima mpunga wallahi,daaah! Na nlimuweka Fulham nikahofia nikamtoa nikamreplace na Dundee Utd ndo nimeliwa. Inaumaaaa
 
Ndugu mteja muamala wako transferId umefanyika kikamilifu. Tiketi #80353 .Ya kuuzwa 2015-01-21 17:33:37.Dau: 1,000.00 Tsh. Uwezekano wa kushinda: 1,579,616.29 Tsh.SCO draw:2.14,GIL draw:2.14,VIT draw:2.09,APO draw:2.03,PAR draw:2.12,KER draw:2.06,ARO draw:2.04,ACA draw:2.12,MAL draw:2.11,FUL draw:2.04,seti #58H ......
HALFTYM SARE MECHI 10 MARITIMO NA FULHAM...WANAUA MKEKA...... MANINA WALAHI....BIASHARA NGUMU SANA
 
Dah, umemkosa kidogo tu!

Ila wewe hizi ungezitenga tatu tatu usingekosa hata moja aisee.
 
Wadau kumbe game likienda zaidi ya dk 90 hupati kitu...though nilibet exact score na ikatiki...lol
 
Jamani ambaye yupo iplay8casino naomba usaidizi wake,nimejiunga Leo wamenipa user id tayari ,wameniambia nitume kitambulisho, nishatuma je kinafuatia nn? Je naruhusiwa kuanza kuweka pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…