Ni kweli kabisa . Kwa nini wanachange hivo ??
Yes wana spidi ya kobe[emoji217][emoji217][emoji217]Naona inazngua hyo biko sport
Mallizia zote na [HASHTAG]#HASARA[/HASHTAG] TUGAWANELeo ninaona pesa nje nje ila sina kitu, Raia mwema anisaidie 10000 nicheze jioni tutagawana faida
Hawa Bikosport wana App?? MkuuGG & Over
Hii website yenyewe wameizindua cjui juzi sidhani km wana app tayari mkuuHawa Bikosport wana App?? Mkuu
OK powa.Hii website yenyewe wameizindua cjui juzi sidhani km wana app tayari mkuu
Mkuu, nimepakuwa app ya Princessbet iko powa tu ila wameniboa kitu kimoja tu. Tulio na mtandao wa Airtel wametubagua, huwezi deposit salio kwa Airtel.ahahahah Trelleborgs FotballForen ni jina la timu lisiwape shida
Ina patikana wapi play Store ama?Mkuu, nimepakuwa app ya Princessbet iko powa tu ila wameniboa kitu kimoja tu. Tulio na mtandao wa Airtel wametubagua, huwezi deposit salio kwa Airtel.
Kubeti kwenye web site huwaga kunaniboa kichizi yaani. Nilikuwa nasubiri App yao lakini ndo hivo tena, labda mpaka nitafte line ya Voda au Tigo.
Ina patikana wapi play Store ama?
tulia uku uku kuna wadau me mwenyewe natafuta mtajiMkuu umepotea njia! Hili siyo jukwaa la biashara. Nenda sehemu husika