Kwa nini mwisho saa tisa?Unataka hela ya bureeee.......
Fanya hivi... Kopa kwa mtu 10,000. Then weka Kokoro la mechi nane hizi hapa chini...
Zote zipe Over 1.5 (Over 1.5 tu, usije kuweka Over 2.5 ndugu)
Odds zake ni 13 point kadhaa kutegemea na Broker wako.
Gemany
England
Argentina
Brazil
Romania
Australia
Slovakia
Poland
Mwisho ni saa tisa alasiri ya leo hii.. Ukichelewa shauri yako. Basi linakuacha.
Weka 10k upate 130k... Ama weka 100k upate 1.3 Million.
Mtanikumbuka mimi Mtumishi Mcharo. Usisahau kunirushia 10% ndugu
Weka ggNimejaribu kuwapitia hawa jamaa walio filisi wenzao "Biko" na kukimbilia huku kwenye betting, nimeona nipitie pitie Option zao nione kuna utofauti na wengine?. Hii ni gemu ya Liverpool vs Man Utd itakayopigwa 14/10/2017.
Browser gan hii mkuuCS/correct score
ChromeBrowser gan hii mkuu
[emoji817]% Chief [emoji120][emoji120][emoji120]Weka gg
Weka HT ov 0.5
Weka HT ov 1.5....
Mengineyo napitatuu
Stake wife(LUKAKU TO SCORE/MANE TO SCORE)
Kwa nini mwisho saa tisa?
Ni kweli kabisa . Kwa nini wanachange hivo ??Muda unavoenda Odds zinaenda zinabadilika...
Mfano sasa hivi zishapungua hadi 9 pointi ngapi sijui...
Naona inazngua hyo biko sportChrome