bandwidth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 415
- 312
Hapo mkuu inategemea ni mechi gani!.....maana kama tunavyojua sio mechi zote zinakuwa naopton nyingi.....kwahiyo ebu tujulishe hiyo mechi kisha tuone huku kama ipo hiyo option kwenye mechi husika!nataka timu ya nyumbani iongoze goli mbili kipindi cha kwanza...naandikaje hiyo option kwa kampuni ya Gsb
msaada plz