Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tatizo ukweli amtaki ambiwa...mi nakwambia ata uje na formula gani..betting n bahati nasibu maana aujui future# kingine sijawai bet mpira nacheza basketball only# xo kwangu kuliwa naliwa na kula nakula ila kuna watu ata umu miezi awajala ata elfu 5 nyota na bahati zinatofautiana...ivi mfano real anacheza betis alikua na odd ya 1.08 double chance yake ya win or drw ina odd mgapi?..vitu vingine tufanye kwa akili...sio lazima timu ukiifata ya home kwa win or drw zitatoa zote...betting n stake na timu chache single or double mpk timu 4 zaidi ya apo kuweka timu 8 kwa jero utake laki utaliwa sana kuja kula itakua mara moja kwa miezi uku umeliwa sana...m nina group ambalo wanabet watu wanao jielewa na wanatusua sana...mambo ya betting kua na formula akuna...betting n stake.. analysis...na bahati ya mtu..ntakupa reference ya vibopa wangu kweny betting wanao make million mpk tano au kumi kwa siku


Well said! Toa link ya hilo group tupate tips mkuu
 
Tatizo ukweli amtaki ambiwa...mi nakwambia ata uje na formula gani..betting n bahati nasibu maana aujui future# kingine sijawai bet mpira nacheza basketball only# xo kwangu kuliwa naliwa na kula nakula ila kuna watu ata umu miezi awajala ata elfu 5 nyota na bahati zinatofautiana...ivi mfano real anacheza betis alikua na odd ya 1.08 double chance yake ya win or drw ina odd mgapi?..vitu vingine tufanye kwa akili...sio lazima timu ukiifata ya home kwa win or drw zitatoa zote...betting n stake na timu chache single or double mpk timu 4 zaidi ya apo kuweka timu 8 kwa jero utake laki utaliwa sana kuja kula itakua mara moja kwa miezi uku umeliwa sana...m nina group ambalo wanabet watu wanao jielewa na wanatusua sana...mambo ya betting kua na formula akuna...betting n stake.. analysis...na bahati ya mtu..ntakupa reference ya vibopa wangu kweny betting wanao make million mpk tano au kumi kwa siku
1d636db26ff8182b83c8b956466c1430.jpg

684f6b95c28674a3208d3df65c2aff8d.jpg
 
MREJESHO WA JANA SI HABA..

ENG
Tranmere Vs Leyton Orient
Tip: 1 Dnb[emoji736]

ITA C
Robur Siena vs Giana Erminio
Tip: 1X[emoji736]

ITA C
Prato VS Carrarese
Tip: 1 or Over 1.5 [emoji736]

INTL
Germany U19 Vs Belarus U19
Tip: 1 [emoji736]

Intl
NETHERLANDS vs MALTA
Tip: 1[emoji736]

Intl
ITALY vs MOLDOVA
Tip: 12[emoji736]

Intl
SERBIA vs CYPRUS
Tip: 12[emoji736]
*bet won*[emoji736][emoji736]

View attachment 602324
Pdidy we noma nimekua nikifuatilia mikeka yako mara nyingi natusua
 
mkuu mbn kama naona maluelue hizo game zingine zinachezwa lin?
Unatakiwa kujiongeza mkuu....swali lako ni jepesi sana ...na tena umeshajijibu.......(mechi zingine zitachezwa lini).....Sasa hapo ndipo inabidi utafute ni lini hizi mechi zinachezwa.....ukiingia kwenye kampuni unayobet ni lazima utazikuta tu tarehe na muda......nafikiri umenielewa........inabidi mkuu ujiongeze .......na pia ni lazima kujua mbinu mbalimbali za kumpiga kanji maana bila hivyo utafirisika hapa!........hizomechi zingine ni za tarehe ya mbele.....kwa wale wanaofahamu wla hawapatishida maana ...........wanafahamu !......Kwa mfano mechi kati ya Real madrid na Barcelona....ebu angalia tarehe ya hiyo mechi niliyozungushia kibox mstari mwekundu....inachezwa tarege ngapi!?!!...ndio maana nimekueleza jiongeze.....na kujibidihisha...usitafuniwe sana!
swali la kitoto.jpg

Nilitegemea uniulize kwanini umeipa Barcelona ushindi wakati wakati barcelona kapigwa mara mbili mwaka huu!......Kwa mimi ninavyofahamu na nilivyochambua sitaki kuminbi barca apigwe mara 3 mfurulizo......na kama itatokea basi ni maajabu ya mwaka!....ingawa inawezekana!.....kazi kwako hapo....ndio maana nimekueleza kuwa nimeweka hizi mechi uangalie kwa jicho la tatu !!...Ahsante kwa swali lako Mr. ilemi mahome
 
Watu wanaiga mfano kwa uyo
Mkuu tunashukuru umetuonesha mfano, lakini bado hujatusaidia sana, tutaishia kuangalia tu tickets hizo za ushindi na kubaki kutamani, mi naomba angalau utuuwekee link ya hilo group ili tujiunge nasi tuweze kujifunza kwa ukaribu zaidi, maana kiukweli wengi wetu humu hatuna kitu kinaitwa bahati kila siku tunaambulia maumivu.
 
Mkuu tunashukuru umetuonesha mfano, lakini bado hujatusaidia sana, tutaishia kuangalia tu tickets hizo za ushindi na kubaki kutamani, mi naomba angalau utuuwekee link ya hilo group ili tujiunge nasi tuweze kujifunza kwa ukaribu zaidi, maana kiukweli wengi wetu humu hatuna kitu kinaitwa bahati kila siku tunaambulia maumivu.
Ngoja niombe kwa maadmn maana wanasheria katika group lao..
 
Wazo zuri Mr. Q......na strategy hiyo ni nzuri sana....... na pia hizo hodds za 1.48 zipo kwa timu nyingi tu......lakini sasa si rahisi kama ulivyoandika hapa ...mwisho wa yote hayo matokeo ya hiyo double chance....Je kwenye hizo mechi 5 ulizochagua ni zote zitatoa?.....hapo ndipo kwenye mtihani Mr. Q......mpango uliotuelimisha ni mzuri sana .....ila kutoka hayo matokeo kama ilivyo ni ngumu mno!.....na hii ndio sababu ambayo ni wachache sana ambao wanafanikiwa huku....hasa kwa mfumo huo kama wako uliotueleza hapa....Ebu ngoja nikupe mfano Mr. Q na wadau wote wa ku-bet.......ebu turudi kwenye mechi za weekend....za ligi ya uingereza ambako huko kila mtu anaingalia na kuwajua wachezaji na timi husika..kwa kiwango cha hali ya juu sana.....lakini wakati wa kubeti....utakuta wengi wetu tunachana mikeka pasipo kutegemea......ebu turudi kwenye mfano halisi......mechi kati ya Everton na burnley......Je umeona kilichotokea....wengi walichaniwa mikeka yao......na Everton walikuwa nyumbani........na usajili walioufanya Everton mwaka huu ni mkubwa sana...wametumia kiasi kikubwa cha pesa katika kusajili hilo kila mtu anafahamu......ukija ki-historia na perfomance ya timu...Evertoon wapo juu sana kuliko burnley....na Everton huwa anasumbua sana vigogo......lakini haisumbuliwi na timu kama hizi za kina Burnley.....ni Liverpool ndio huwa anasumbuliwa na timu ndogo....na ndio maana huwa sishangai kuona Liverpool ikifungwa na kutoa droo na timu ndogo....nimezoea kuona hivi toka Cloop alipochukua timu ya Liverpool kufundisha .....Ila nilishangaa weekend iliyopita kuona Everton imefungwa na burnley....ebu ona hapo chini toka mwaka 2009 kwenye ligi kuu Burnley haijawahi kuifunga Everton!.......
View attachment 602196
....haya ukija kwenye odds zilikuwa ni nzuri sana tena zilikuwa zinashawishi mtu kutoa double chance yaani home or draw (1x) kwani maduka mengi odds zilianza kama zinavyoonekna hapo chini.....
View attachment 602207
......Ebu angalia odds ilivyokuwa ya kushiba!....ila kwa makampuni yetu huku bongo ya kubetisha ilikuwa kama 1.67 hivi......mpaka 1.60....hata hivyo ilikuwa sio mbaya na ilishawishi mtu kutoa double chance ya home or draw kwa sababu odds alizopewa Everton ni za kushiba kwahiyo kulikuwa na sababu.....ndio maana walimpata hiyo odds na pia ....perfomance ya Burnley ugenini mwaka huu hajapoteza toka ligi ianze ndio maana naona walitoa hizo odds......lakini maajabu yalitokera Everton alichana mikeka ya watu!!!!!......Huu ni mfano mdogo tu ambao unaweza sababisha hiyo plan uliyotoa humu isifanye kazi sana!...maana unaweza ikawa day one tu na siku hiyo ambayo umeamua kufanya strategy hiyo na ukajikuta unachana mikeka.....kwahiyo mimi natoa angaalizo ni kuwa makini .....plan ya Mr. Q sio mbaya na ndio mara nyingi watu wengi wanatumia strategy hiyo....ila inatakiwa uvumilivu mno...na akili yako iwe sana ......acha mihemko...! acha tamaa.......tena hiyo odds ya 2+ ni nyingi mno....kama akili yako imetulia ni odds ia 1.44 inatosha tu kwa siku ......na kwa plan hiyo ya day one ...mpka hizo siku 30.......ukiwa mvumilivu....basi au huu umoja unaoonyeshwa humu ni mzuri na inatakiwa kuongeza bidii kabisa ili kufanikiwa......kama nilivyoandika hapo juu kuwa tujitahidi kumpiga huyu kanji hasa!........siku zijazo nikipata nafasi nitaweka hapa mfumo ambao kama mtu akipenda anaweza fanikiwa...!...Yote kwa yote wadau ni kutuliza akili ......umoja na mshikamano ni kitu muhimu mno katika kukabiliana na kanji........maana huu mchezo unaweza sema kuna uchawi ndani yake.....kwahiyo ni lazima tupambane kisawasawa na hyu kanji ...maana bila hivyo tunaweza kutembea pekupeku barabarani.......... kisha nchi ikaonekana kuna wendawazimu wengi ....kumbe watu wamedata kutokana na betting!.......Kwahiyo isije ukapelekwa mswada Bungeni kuondoa hizi kampuni za betting kutokana na watu ku-data....kwahiyo ili kuokoa hilo ni lazima na tunawajibika tushinde mikeka yetu ili twende sawa!.....wenzetu wanaigeria wana umoja sana....mwaka jana kuna mkeka uliwekwa online watu walioufuata...walipiga milioni kama 200 hivi....ilikuwa mwaka jana mwezi wa 8 hivi....ngoja kama nitaupata nitashare hapa!.....na hata mwaka huu kuna pesa wamepiga ndefu ...hawa wenzetu wanaingeria....huwa wanaumoja sana....ila kwa upande wa pili ndio wamefanya dili...ba wengi wao ni mapaeli pia!....Ok hayo ni mawazo yangu tu!.......nakalibisha kukosolewa kwani ndio njia ya kukabiliana na kanji!...Usiku mwema wadau!

Me binafsi huwa nachukua timu tatu zenye uwezo unaokaribiana. Nabet kwa 45 min 1st half. Nageuza matokeo ya mkeka mara 4 - 5.
Wastan minimum odds huwa ni 2× 2× 2 = 8.
Hapo kuna timu zinakuwa na odds 2+ hadi 3+ so unaweza kuta una odd jumla kwa kila mkeka 12+

8×stake. faida napata nzuri na ni uhakika.
Chukulia mfano 8 × 1000 = 8000
So jumla stake kwa mikeka 5 nakua nimetumia 5000 faida 3000


Mfano zinacheza timu A na B

A vs B =draw >B >draw>A >A .......
A vs B =A >draw >draw>B >draw ......
A vs B =draw >A>B >B >A ......

Kwa hiyo huwa napredict timu zangu hizo tatu tatu mara 4 - 5 siku nyingine hadi mara sita. So nakua na mikeka 4 had 5. Ambayo ktk hiyo kuna mmoja lazima utiki.
 
nataka timu ya nyumbani iongoze goli mbili kipindi cha kwanza...naandikaje hiyo option kwa kampuni ya Gsb
msaada plz
 
Qatar win
Iraq win
Iran gg
Hongkong 1x
Taiwan 1X

KALESUPU
 
Back
Top Bottom