Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Tumia Google Chrome! Refresh futa hyo page anza upya andika upya Princessbet. Co.tzDuh! Em niandkie no yao ya huduma kwa wateja km ipo
Tumia Google Chrome! Refresh futa hyo page anza upya andika upya Princessbet. Co.tzDuh! Em niandkie no yao ya huduma kwa wateja km ipo
Asante mkuulog in katk account yako tafuta ID NUMBER YAKO hiyo ndo utaitumia kama reference number kwenye m pesa.
namba ya kampuni ni 170066
Ange turbo ingekuwaje mkuu. Nieleweshe kuna siku nililetewa turbo pay out sikuelewaPole sana mkuu ungeturbo huu mkeka
Ungebet gsb ungpt bonusWeka game zote tuone maana kwa hizo game chache na hizo odds kwa stake ya 500 huwezi pata 3m
Post mkeka wote tuone mkuu
Kuturbo ni kurequest payment baada ya mechi kadhaa kwenye mkeka kutiki wakati zingine zingine zikiwa hazijaanza kuchezwa.Ange turbo ingekuwaje mkuu. Nieleweshe kuna siku nililetewa turbo pay out sikuelewa
waendelee na moyo huo huo😀😀😀😀😀Neno moja kwa algentina na messi kwa ujumla
kwamba wachambuzi wa hiyo app ni malaika hawakosei?![]()
Wale wazee wa ku hack fanyeni yenu hapo pana pesa mingiiiiiiii jamaa hakosei
Unalipwaje hesabu yake inakuwajeKuturbo ni kurequest payment baada ya mechi kadhaa kwenye mkeka kutiki wakati zingine zingine zikiwa hazijaanza kuchezwa.
Mfano una mkeka wa timu 10, then kwenye huo mkeka mechi tano ziwe zimechezwa na zimetitiki halafu hizi tano zingine ziwe hazijaanza hapo unaweza kuomba kulipwa (turbo) halafu hizo ambazo hazijaanza zinapewa odd ya 1(zinatolewa kwenye mkeka)
Zinachukuliwa total odds za mechi zilozotiki times stakeUnalipwaje hesabu yake inakuwaje
yupo vizur huyu mzeekwamba wachambuzi wa hiyo app ni malaika hawakosei?
Kumbe unaweza kujikuta unalipwa kidogo sana.Zinachukuliwa total odds za mechi zilozotiki times stake
flopsNeno moja kwa algentina na messi kwa ujumla
hamna app ambayo haikosei na ukipenda kupaste app utaliwa sana![]()
Wale wazee wa ku hack fanyeni yenu hapo pana pesa mingiiiiiiii jamaa hakosei
Kwani wewe huwezi kuchambua game mpaka upewe app!! huzijui timu au nnhamna app ambayo haikosei na ukipenda kupaste app utaliwa sana