Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ange turbo ingekuwaje mkuu. Nieleweshe kuna siku nililetewa turbo pay out sikuelewa
Kuturbo ni kurequest payment baada ya mechi kadhaa kwenye mkeka kutiki wakati zingine zingine zikiwa hazijaanza kuchezwa.
Mfano una mkeka wa timu 10, then kwenye huo mkeka mechi tano ziwe zimechezwa na zimetitiki halafu hizi tano zingine ziwe hazijaanza hapo unaweza kuomba kulipwa (turbo) halafu hizo ambazo hazijaanza zinapewa odd ya 1(zinatolewa kwenye mkeka)
 
Unalipwaje hesabu yake inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…