hamna app ambayo haikosei na ukipenda kupaste app utaliwa sana
Wale wazee wa ku hack fanyeni yenu hapo pana pesa mingiiiiiiii jamaa hakosei
Pakua appstore inaitwa aio downloader isearch google andika aio , downloader apk ukishakuwa nayo hiyo search app yoyote ya kulipia utaipata free
Chana mkekaaaaaaaaaaa
Natest mitambo jmn
Pakua appstore inaitwa aio downloader isearch google andika aio , downloader apk ukishakuwa nayo hiyo search app yoyote ya kulipia utaipata free
wasije kusema hukutoa tahadhariWARNING!
kuwapa Spain ni kuchana mkeka nadhani wanaweza kuathiriwa na mgogoro wa kujitenga kwa jimbo la katalunya
hakuna kitu nakichukia saiv kama hizi apps..hamna app ambayo haikosei na ukipenda kupaste app utaliwa sana