Denis mbn kinyonge mzee baba nimekucheki inbox hujibu [emoji16] [emoji16]Uyo n mtu mmoja
Brand kuna ishu Naomba msaada check me whatsapp 0655181413[emoji109] [emoji109] [emoji109]Kwa kweli hii vita ni kubwa mno!...nimekaa chini na kufikiria sana ..nikaona hapa tusipotumia akili ya kuzaliwa tutakufa masikini hivi hivi!......kwahiyo nimeamua sasa afe kanji ni fe mimi ...aluta kontinyua tutapambana naye huyu mtu!....hawezi kula pesa zetu kilahisi hivi!.......nipo chimbo.....nitarudi!!...vuteni subira kidogo!....wakuu!
Ok poa!....ebu ni-add mimi kwanza kwani mimi naweza sahau maana nipo buzy mno 0718150152Brand kuna ishu Naomba msaada check me whatsapp 0655181413[emoji109] [emoji109] [emoji109]
JPN vs NZL
Score: 1 - 1
Min: 59
⚽ Goal!!
New Zealand
Weka OV 2.5/HME WIN
KALESUPU
Apo kuna timu zaidi ya kumi 14Mimi mbona sielewi hapa....imekuaje....Yaani stake Tsh. 500.....kisha nikiangalia hizo Odds jumla hazizidi odds 50...hilo tena ni kadirio la juu......sasa ukija ukasidisha na hiyo pesa uliyoweka yaani Tsh 500 pesa utakayopata ni zaidi ya 26,000/=....sasa iweje hapo kuna milioni tatu na upuuzi???...Ebu tueleweshe mkuu...maana sisis wengine washamba humu!....Yaani siamini macho yangu!!! Duuu!
Mimi mbona sielewi hapa....imekuaje....Yaani stake Tsh. 500.....kisha nikiangalia hizo Odds jumla hazizidi odds 50...hilo tena ni kadirio la juu......sasa ukija ukasidisha na hiyo pesa uliyoweka yaani Tsh 500 pesa utakayopata ni zaidi ya 26,000/=....sasa iweje hapo kuna milioni tatu na upuuzi???...Ebu tueleweshe mkuu...maana sisis wengine washamba humu!....Yaani siamini macho yangu!!! Duuu!
Oooh! hapo sasa sawa nimeelewa!...kumbe ulikuwa unamaasisha tu! aha haha haha haaaaaa!...du! nilitaka kushangaaa!!!...Big up! umecheza na akili!!!