wilbard athanass
Member
- Feb 28, 2014
- 69
- 87
Hii si ramli jamani mkeka gani mrefu hivyoOooh! hapo sasa sawa nimeelewa!...kumbe ulikuwa unamaasisha tu! aha haha haha haaaaaa!...du! nilitaka kushangaaa!!!...Big up! umecheza na akili!!!
Semen Padang vs Madura United
Score: 0 - 0
Min: 31
Yellow to ELFIS NUH HAREWAN
Semen Padang FC
FT UND 3.5
STAKEHIGH
Sasa mbona ulituambia umekoseshwa million 3 wakati game zingine bado...nilijua tu unaleta usanii...acha kufanya watu wajinga humu siyo issue hizo
Msimwamini sana WalesNaskia leo Bale hachezi
Hahaaa mpwaaa ameema kweli kingora chekundu ujakiona kinawakaSasa mbona ulituambia umekoseshwa million 3 wakati game zingine bado...nilijua tu unaleta usanii...acha kufanya watu wajinga humu siyo issue hizo
uwoga wako ndo umaskini wakoGame zote za leo ukienda na mtindo wa over, under unaliwa cheza kawaida normal tofauti na hivyo unachana mkeka
Itakuwa kuna mechi nyingine juuuMimi mbona sielewi hapa....imekuaje....Yaani stake Tsh. 500.....kisha nikiangalia hizo Odds jumla hazizidi odds 50...hilo tena ni kadirio la juu......sasa ukija ukasidisha na hiyo pesa uliyoweka yaani Tsh 500 pesa utakayopata ni zaidi ya 26,000/=....sasa iweje hapo kuna milioni tatu na upuuzi???...Ebu tueleweshe mkuu...maana sisis wengine washamba humu!....Yaani siamini macho yangu!!! Duuu!
matapeli hawaWale wapenzi wabiko mjiandae na haya mambooView attachment 603331