Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Wakuu BIKO hivi majuzi wameingia sokoni kwenye mchezo wa kubashiri soka.
Kupitia website yao.
Ajabu Leo nimeshinda tiketi wameshindwa kunilipa kabisa.
Nafikira hapa ni jukwaa la wadau mbalimbali.
Nini kifanyike?
(Bet type ilikuwa Gg& over 1.5)
Match ya Barnsley v Sheffield Wednesday
Matokeo yamekuwa 1-1.
Tiketi yangu imeandikwa Lost.
Hivi siwezi kuwafungulia malalamiko hawa jamaa ?
Majibu ya customer care wao ninayo.
Yanakera sana.
Nawaza hapa kama kuna mjua sheria tafadhali tushauriane wandugu.