Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Jamani bet online naliwa kila siku!
thanks Lord kanji hajasepa na kamtaji, ov 2.5 imetikiJong PSV 0 - 2 Jong AZ Alkmaar wadau tusaidiane kubana mbupu hapo lionezeke golii daah
Bora we we Mkuu umerudishiwa pesaBiko wangese sana mi nimecheza live game mkeka ukawin maan nilikuwa naufuatilia mwanzo mwisho cha ajabu naingia kwa account eti pesa yangu niliyobetia imerudishwa nimeishia kuwaambia tu acheni ungese nikatoa na pesa yangu na account nimewaachia wadau USIJISUMBUE KUBET BIKOOOOONYOOOO
Komaa mkuu mpaka warudishe chako nadhan kma upo dar nikwenda tu kwenye board inayohusika na hii michezo haki yako haiwez kupotea hvihivBora we we Mkuu umerudishiwa pesa
ESP vs ALB
Score: 3 - 0
Min: 26
[emoji460] Goal!! Thiago
Spain
Deal done
OV 2.5 [HASHTAG]#kabooooooooooooom[/HASHTAG] WEKA OV 3.5 /4.5 NA GG
Biko wangese sana mi nimecheza live game mkeka ukawin maan nilikuwa naufuatilia mwanzo mwisho cha ajabu naingia kwa account eti pesa yangu niliyobetia imerudishwa nimeishia kuwaambia tu acheni ungese nikatoa na pesa yangu na account nimewaachia wadau USIJISUMBUE KUBET BIKOOOOONYOOOO
Huyo pimbi huwa simuamini nilimuua kabisaUturuk anafia nyumban
Uturuk anafia nyumban
Acha kabisa mkuu wakatHao Iceland sio wa pole pole Chief ...mi nlijua Iceland wanashinda kbs hii game. Si unakumbuka Euro walivyowashangaza watu? ...wako vzr sn hawa akina Son ...yani timu nzima majina yanaishia na neno "son"
Af walikuwa na odds zaidi ya 4
Bet WonOdds 1.6
Ireland v Moldova 1,5+
Italy v Macedonia 1,5+
Jong Psv Eindhoven v AZ Alkmaar 1,5+
direct win is too harmful![]()
Acha kabisa mkuu wakat
Uturuk alikua na 1.8
Alaf Iceland nkimkuta na odd ya 5
Nmeamin odds hua tunazogopa tu
hahahaha chanaaaaaaaaNimetupia OV 4.5 maana hawa watakia hata goal 8 kabisa
hahahaha chanaaaaaaaa
hahahaha mkuu hiyo kaliBetting ni noma sana, unabeti double 1×, first half time, dakika ya 34, hio timu ulioipa wine/draws(1×)kwa kuiamini, imeshafungwa 4 kwa mtungi. Hii kitu ni hatari ndo maana Hawarusiwi under 18 year, unaweza pagawa kabisaa.